4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hivi unajua maana ya msongo wa mawazo? Kwamba utabagua mtu kisa cheo au pesaWe mbwa koko ndio una msongo. Rais ni raia wa level nyingine hana sababu ya kuwa na msongo, ushindi wake ni zaidi ya 90%, ana kila kt kuanzia ulinzi we kwl ni kibwengo tu.
Bro kuna siku nilisikia unasema mama kwani huyo ndio mama yako bro angu?Sauti ya watu sauti ya Mungu, watu wanasema hapana
Mkuu kabla ya yote na kumsifia mama yao unafahamu wewe ni kilaza wa mwisho humu?No kweli, Kama IGP tu mwenye take home ya chini ya 3•5M anaweza miliki Bilioni 5 Bank unafikiri inaweza kuwa rahisi kukata tawi alilokalia?
Ndio ukweli wenyewe. Mnaopiga makelele humu mitandaoni nina uhakika hata milioni mbili hamfiki.Bado unaishi kwa fikra za kizamani sana.
The Hague sio habari njema!. 🤓Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
MIMI NI MTUMISHI WA SERIKALI NA MSHAHARA WANGU NI MDOGO ILA NITAJITOLEA KUDHAMINI SEMINA YA WIKI MOJA YA MAFUNZO YA SCIENTIFIC PROPAGANDA KWA CHADEMA. NAWAOMA BADO KWENYE HILI ENEO NI WACHANGA SANA. CCM NAIOMBA ISAIDIE KUTOA WAKUFUNZI/FACILITATORS BILA MALIPO KWA MUDA WOTE WA SEMINA.Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Ni mamake Lucas Mwashambwa broBro kuna siku nilisikia unasema mama kwani huyo ndio mama yako bro angu?
Luka huko Clubhouse tulimtimua mjinga mnjinga tu huyo😅Ni mamake Lucas Mwashambwa bro
Chadema chakavu naona mkeishiwa Sasa. Poleni. Hebu zuieni uchaguzi tuone!!Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Exactly na inaitajika financial and espionage supportHiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
Kitendo Cha kusambaza mikono kwenye hizo ngazi ni stress tosha, na mpaka Sasa anameza dawa ya usingizi, na anaongeza hamu ya kula Kwa vidongeKupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Roma ilikaa miaka 1000 ikowapi?Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
She is just greed, lazima apate preshaYa nini kujitesa mwisho upate magonjwa ya presha afanye maamuzi...mambo mengine ya kujitakia...tamaa mbaya aliimba 20 paah!
Huyu Mama inabidi asaidiwe kisaikolojiaKitendo Cha kusambaza mikono kwenye hizo ngazi ni stress tosha, na mpaka Sasa anameza dawa ya usingizi, na anaongeza hamu ya kula Kwa vidonge
Endelea kuisaidia serikali kupambana na ubadhilifu wa mali za umma, acha sisi tuendelee kudai reform kwa ajili ya ustawi wa nchiMIMI NI MTUMISHI WA SERIKALI NA MSHAHARA WANGU NI MDOGO ILA NITAJITOLEA KUDHAMINI SEMINA YA WIKI MOJA YA MAFUNZO YA SCIENTIFIC PROPAGANDA KWA CHADEMA. NAWAOMA BADO KWENYE HILI ENEO NI WACHANGA SANA. CCM NAIOMBA ISAIDIE KUTOA WAKUFUNZI/FACILITATORS BILA MALIPO KWA MUDA WOTE WA SEMINA.