Bila kikwete Magufuli hangekuwa raisi.Unafikiri Magufuli angepewa uhiari wa kuchagua mgombea mwenza 2015 angemchagua Samia? Huijui CCM wewe.
Ndiyo ukweli huo. Magufuli hajawahi kushinda kihalali uchaguzi wowote.Niliwahi kulisema hili, kwamba Magufuli alibebwa watu wakanikatalia Sana.
Mbona wewe hujafa?
Usifuate tu mkumbo kimbwiga mbwiga bwashee?
Mbunge wenu mstaafu yuko hapo JK mnashindwa kumtibu halafu mnasingizia wengine ndio wauwaji!
Hapana hiyo roho aliianzisha Magufuli kuwasema watangulizi wake. Alifikia Hadi kumsema Nyerere kwanini hakuweka ukuta mereranu mwaka 1961, Bila kujua Tanzanite imegunduliws miaka ya 1989. Hapo ndipo nilipomdharau.
Ndiyo ukweli huo. Magufuli hajawahi kushinda kihalali uchaguzi wote. Hata akigombea ubunge kule Biharamulo na Chato na akina Phares Kabuye na wengine alikuwa ni mtu wa mipango tu. Anajijua HAKUBALIKI
Magufuli hajampa umakamu Samia, Samia alipewa na ccmKumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu ufungwe milele katika taifa letu.
Sidhani km SSH aliwekwa na JPM ila alielekezwa amuweke, km ingekuwa ni utashi wake na kulambana visogo
Hawa matahira wanataka kumpaisha huyo fisadi wao, Kuna Watu wana hustoria na hii Nchi kuliko huyo maggufuli wao
Anajadiliwa kwa UFEDHULI na UHAYAWANI wake.Magufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
JPM kawasema waliopita...
Samia anamsema JPM...
Kwa nini wadhani Samia naye hatanangwa na atayekuja?
Amina hakuongoza mzee, wacha za kwako. Asingeongoza Amina halafu akafifia moja kwa moja.
Wakati wa kampeini Mama akiwa akiwa Njombe alimjibu Lissu hivi
2020 alikuwa na uwezo wa kumuweka makamu wake amtakaye, ila hakufanya hayo.Unafikiri Magufuli angepewa uhiari wa kuchagua mgombea mwenza 2015 angemchagua Samia? Huijui CCM wewe.
Ndicho ninachomaanisha kuwa magufuli hakuchagua mwenyewe mgombea mwenza ila alipewa na chama chake.Bila kikwete Magufuli hangekuwa raisi.
Tusiwe na mawazo ya aina hii
Chama ni taasisi chama sio mtu,mtu anachaguliwa kwa maslahi ya taasisi husika
Isingekua rahisi kiivyo. Aliweza kwa wabunge tu lakini sio makamu.2020 alikuwa na uwezo wa kumuweka makamu wake amtakaye, ila hakufanya hayo.
Muosha huoshwaTuwaache watu watoe nyongo zao..huenda huyo samia nae aliwahi kuumizwa na JPM so ndio wakati wake huu wa kutapika nyongo yake.
Ila Samia nae aandae kifua coz ajae atamnanga tu na yeye.
Mtibuni Prof.Usinipangie Cha kusema, Kama Magufuli kwako Ni Mtakatifu sawa, lakini kwangu Mimi nilimuona Kama muuaji asiye na utu, aliyejiweka mbele yeye na mwenye visasi. Aliipiga stop shirika letu kwa miaka mitatu, tuliishi kwa shida Sana bila mishahara kwa miaka mitatu mpaka leo maisha hayajakaa sawa halafu wewe unaleta utetezi kisa ulikuwa kwenye payroll yake.
Hata hayo kujenga madaraka na Barbara Ni kutaka kujenga legacy na Jina lake tu.
Mbona hapo Ufipa mlikuwa mnawachangisha akina Lijualikali tsh 8 bilioni halafu wakiugua mnawatelekeza muhimbili hadi Chongolo wa CCM akasaidie!!!Anajadiliwa kwa UFEDHULI na UHAYAWANI wake. Ule uwongo alioupandikiza ndiyo tunaufuta taratibu. Kwa mfano alikuwa anasema tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani kumbe alikuwa anakopa.
Sasa cahdema inafikaje hapo tafuneni wenyewe.Chadema ni wajinga sana