Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Hii watu JF kutofahamiana kuna uzuri na ubaya wake. Ungejua Kichuguu ni nani ungeomba radhi haraka sana kwa andiko lako hili.

Mkuu Kichuguu msamehe huyu dogo; anayoandika yanaaksi upeo wake.
Kuchuguu sina haja ya kumjua kwa vile ana akili kama mavi ya mwisho. Wewe Gagnija unaniita mimi dogo, umetumia kigezo gani?

Tatizo mnavutia bangi chooni
 
Acheni kudanganya umma. Bila mkapa JPM angekuwa Rais.
JPM Libebwa baad ya wajumbe kukataliwa Lowassa na kuona amebaki Benard Membe ndipo mgomo ukaanza chinichini, Mkapa akamwambia bora JPM
Mama Samia alishafukuzwa na JPM umakamu, kwani jamaa alikuwa na Mfumodume km sio Askofu wa Katoliki na JMK wa awamu ya 4 kumrudisha jamaa alishajiona Nchi tote ni yake mpaka siku yake ya kuishi
 
Ukweli lazima usemwe hata kama unatoka kwa Mapaka😁😁😁
 

Nyerere yuko wapi na Magufuli yuko wapi?
Uzuri wenyewe JPM hakuwa mnafiki alisema mtu aliye taka afanye naye kazi kama Naibu wake alikuwa ni Mwinyi jr. Rais wa sasa wa Zanzibar.
 
Unafikiri Magufuli angepewa uhiari wa kuchagua mgombea mwenza 2015 angemchagua Samia? Huijui CCM wewe.
Yawezekana mwaka 2015 JPM hakuwa na hiari ya kumchagua mama kuwa mgombea mwenza, lakini je, hata 2020 bado hakuwa na hiari?
 
Yawezekana mwaka 2015 JPM hakuwa na hiari ya kumchagua mama kuwa mgombea mwenza, lakini je, hata 2020 bado hakuwa na hiari?

CCM wanao utamaduni wao. Na huu utamaduni ndio utamfikisha Mh Rais SSH 2030 unless litokee la kutokea la Mungu
 
Umedata ww kwani katiba inasemaje?tuanzie hapo kiongozi
 
Nani alimpendekeza SSH awe mgombea mwenza wa JPM?
 
Kiongozi kilaza kuliko wote waliowahi kutokea hapa Tanzania. Mungu amsaidie.
 
Hii watu JF kutofahamiana kuna uzuri na ubaya wake. Ungejua Kichuguu ni nani ungeomba radhi haraka sana kwa andiko lako hili.

Mkuu Kichuguu msamehe huyu dogo; anayoandika yanaaksi upeo wake.
Acha vitisho.
 
Mtajuana wenyewe!
 
Wape wape mpaka wanyooke!! Mama samia asinge kaa pembeni hata kidogo sababu ni mpambanaji!! alitakiwa kwanza asome mchezo, na alijua huyo hafiki mbali ataondokaje kenye uwanja wa mapambano muwacheni mama ametupamabania kufika hapa! yaliyo jilri unayajua weye??
 
ukinisaidia ndo nisikusimange hata ukizingua?
Safi sana hata Yuda alimkana Yesu !! na Yuda alikuwa namsaidia Yesu kutunza fedha ya kikundi!! kukilisha na kukifadhili kwa kila safari lkn muda ulipo fika Yuda alikufa kivyake!! jiulize tu mbona Petro alisamehewa lkn siyo Yuda!!

J
 
Baelezeee!! baba baeeezee wasiojua kufikiri yaani wakulima wa chato wanataka kubishana na Ma born town yaani lile jisukuma ndo limbebe Samia kweli ptyuuu!! .........Samia alijibeba!! karama/Bahati/uwezo/ kipaji hakibebwi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…