Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

Huo ni mtazamo wako tunauheshimu. Ni kama jinsi ilivyo kwako kuna ambao wanakuona HUTOSHI Kabisa hapo ulipo.
Huo ndio uswahili wenu, jibu hoja iliyopo mezani
 
Nyerere alikuwa na uwezo wa kujibu maswali ya waandishi wa kizungu mpaka wanaogopa kumuuliza tena, ni swala la Ia IQ tu.
Tofauti ipo kubwa sana kati ya viongozi wa sasa viongozi aina ya Nyerere. Hawa wa sasa wanakuwa na madudu mengi,kwa hiyo lazima asiwe huru kuulizwa kila mara ajihisi. Nyerere alikuwa anakuwa free ksbb anajua usafi wa moyo mpaka matendo. Hata akiulizwa la kukasirishwa anacheka,anakujibu vile vile bila hofu
 
Mkuu narudia tena, umeathiriwa na hizo siasa unazosema hapa, ndio maana unapata tabu kwenye baadhi ya mambo. Si kosa lako bali ni makuzi.
Mkuu hujui siasa, pengine unasikiliza kinachosemwa kwenye press au mijadala na baadhi ya wanasiasa unaowaamini ukadhani wanawaambia ukweli wa kila kitu
Ila siasa hazipo hivyo. Iwe CCM iwe upinzani, iwe kwa wazungu

Kuna truths, half truths na lies, zote hizi unachanganyiwa na wanasiasa
 
Hakuna usafi wowote wa roho aliokuwa nao Nyerere
 
Aliyewanyima akili wabongo aliwaweza sana.

Aisee Waswahili wanabwekaaaaa.

Asubuhi mchana, usiku Ni kubweka mwanzo mpaka unajiuliza muda wa kufikiri na kufanya kazi wanao kweli?

 
Wamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.

Mwanamke ni mwanamke tu.
Hii jeuri uliyo nayo dhidi ya wanawake unajidanganya unakumbuka uliingizwa kwenye shimo lao ukiwa ujiuji mweupe kisha wakakutunza na kukulisha kwenye tumbo lao kisha wakakutoa duniani ukiwa kiumbe kamili tena utakuta hata aliyemzalisha huyo KE aliyekuleta duniani naye ni KE na hadi leo bado hilo shimo linakuhangaisha hapa duniani naomba sana usiwadharau wanawake wangekubania kidogo tu ungekunywa maji na kujifia au wangeamua kumlazimisha dingi yango kuvaa ndomu ungeishia kwenda chooni na kunenepesha watoto wa nzi a.k.a finyofinyo
 
Johnny umesekosea, unasema mwamba Magu alikuwa hamkubali?
 

Kwa mtazamo wako sijui hayo, bali nasubiri kusikiliza kwa wanasiasa, na sina uwezo hata wa kuchambua kinachosemwa? Ama umeona sijui kipi cha kusemwa, wapi na lini! Nimecheka kwa nguvu, nashukuru ww unayejua hivyo naomba unisaidie kujua siasa.
 
Kwani uongo dikteta ilikuwa siyo rahisi kufanya naye kazi
 
Unataka kusema alilazimishwa kujibu?
huyo alidhamiria
 
Bora kuwa mkweli siku zote utakuweka huru, atamsifia magu alipofanya vizuri lakini alipokwanga wacha amnange kisawasawa, damage ya kusema ukweli itachukua muda mduchu sana uongo ndio utakuathiri milele
Kiutaratibu ukipishana mtazamo na kiongozi wako katika jambo la msingi inabidi UJIUZULU!! Kwa nini makamu hakujiuzulu kwa kupishana na rais? Angrulizwa na waandishi Wa habari hivyo angesemaje?
 
Kidiplomasia, Samia anapaswa kujitenga au "kumkataa" Magufuli.

Yeye Samia ameamua kuiendesha nchi kwa mwelekeo tofauti na mtangulizi wake, hivyo hayo anayoyafanya ni sahihi kabisa.

Hapaswi kabisa kuonekana ameubeba na kuukumbatia umagufuli.
 
Johnny umesekosea, unasema mwamba Magu alikuwa hamkubali?
Magufuli alimtaka Hussein Mwinyi awe makamu wa Raisi na Professor Mbarawa akagombee uraisi Zanzibar

Kamati za fitna za Zanzibar ndio zilibadili hill kwa kisingizio kuwa Magufuli anamtaka Professor Mbarawa awe Raisi Zanzibar ili aipelekeshe Zanzibar na kuiweka mfukoni kwani Professor Mbarawa alikuwa kipenzi sana cha Magufuli

Sasa hivi Raisi wa muungano angekuwa Raisi Mwinyi na Proffessor Mbarawa Raisi Zanzibar usiniulize mama Samia angekuwa wapi hayanihusu
 
Kidiplomasia, Samia anapaswa kujitenga au "kumkataa" Magufuli.

Yeye Samia ameamua kuiendesha nchi kwa mwelekeo tofauti na mtangulizi wake, hivyo hayo anayoyafanya ni sahihi kabisa.

Hapaswi kabisa kuonekana ameubeba na kuukumbatia umagufuli.
Diplomasia inayobadilika badilika pia ni hatari kwa uwekezaji nk vizuri kujenga hoja!!! Badala tu simply ohh niko tofauti na mtangulizi!!Diplomasia Leo kuwa hivi Kesho vile kutegemea aliye kwenye kiti haiko sawa

Watu wana uwekezaji wa long term investments hiyo diplomasia kubadilisha badilika sio fair
 
Kiutaratibu ukipishana mtazamo na kiongozi wako katika jambo la inabidi UJIUZULU!! Kwa nini makamu halujiuzulu kwa kupishana na rais? Angrulizwa na waandishi Wa habari hivyo angesemaje?

Zinaweza kuwa ni stori za vijiweni, lakini nimewahi kusikia huyu mama alishawahi kuwasilisha barua ya kujiuzulu.
Ilibidi wazee (akina Mkapa) wawakalishe meza moja kuyamaliza ili kuiepushia serikali, chama na nchi taharuki.
Maana kimsingi wote walikua wanapoteza.

Nilisikia sikia tu lakini mkuu, sina uthibitisho wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…