Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

Wamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.

Mwanamke ni mwanamke tu.
Katiba ya marekani inasemaje ikitokea hivyo? Si katiba zote ziko sawa.
 
Tangu ameingia madarakani Samia anahubiri "kuifungua nchi", anainadi nchi kuwa ni mahala salama kwa uwekezaji na mashirikiano na mataifa mengine.
Hayo yote ni katika kuonyesha kwamba mazingira ya utawala wa sasa sio sawa na ya utawala uliopita.

Kwahiyo kwenye haya yote hatujashangaa, tumekuja kushangazwa na kauli ya jana kwamba kwenye baadhi ya mambo ikiwamo Covid 19 walikua wanatofautiana na JPM ?

Kusoma hatujui, hata picha tu hatuoni ?
Kwenye hilohilo la COVID, mbona iko wazi kwamba walitofautiana maana Samia alivyoingia madarakani akaruhusu approach za kisayansi ikiwemo CHANJO.

Halafu kukinzana mawazo sio dhambi kwamba ifanywe ni siri, mimi sioni kama kuna ubaya kulisema wazi hilo suala.
 
Nadhani kuna shida mahali nchi haiwezi kuwa kama mlango wa nyumba ya kichaa leo kaja kiongozi huyu umefunguka Kesho kaja mwingine umefungwa keshokutwa kaja mwingine umefungukuka.No tuwe serious tuwe na hoja hii trend ya mara funga kisha fungua kisha funga halafu fungua unafiki !! kwa nini hatuwi na sera na mkakati sustainable .Kwa nini itegemee nani yuko madarakani hadi mtu itoke nje ujikombe kusema mimi niko tofauti na yule wakati ulikuwa Serikali hiyo hiyo?
 
Interview zote za wakubwa (Marais, wafalme, n.k) maswali ya msingi huandaliwa kabla na muhusika hupewa kabla ya interview. Maswali ya nyongeza katika swali la msingi ndie ya papo kwa papo.

Kifupi binafsi ninaimani kuwa Rais alijiandaa kujibu hivyo hivyo. Sioni kama kitu kipya kwani hata hapa nyumbani alishawahi kusema kuwa Nidhamu katika awamu ya 5 ilikuwa ni nidhamu ya uoga. Kauli hii sioni kama inatofautina sana na hiyo ya kufanya kazi na Magu.

Aliamua kuyatoa ya moyoni, na kwa kila mtu aliyewahi kufanya kazi na Magu atamuelewa Rais vizuri sana na atampa 5 nafikiri.
 
Swadakta! Watanzania wamezoea unafiki, kudanganywa danganywa. Sasa mama amekuwa muwazi, wamepigwa na butwaa. Kifupi mlichokisikia katika mahojiano hayon ndichao Rais alichotaka kukisema, wala hakupotea. Na wala haikuhita eti msaidizi amueleze cha kujibu. Subiri utapokuwa wewe Rais ndio unyweshwe na wasaidizi wako.
 
Wamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.

Mwanamke ni mwanamke tu.
Huyo Rais wenu naturally tu ni bogus.mbona akina Angel Merkel na Theresa May waliweza kuongoza?
 
Sa100 yupo marekani anasaka konekisheni..graduates jifunzeni kwake..konekisheni ndio suala la msingi.

#MaendeleoHayanaChama
Usiwatukane graduates wewe acha kabisa usiwaone kuwa hawajielewi

Aisee hata sijui nikujibuje natamani kukutukana

Mwambie Graduate yeyote aende kitengo cha Passport uhamiaji aombe passports sababu ya safari aseme naenda Marekani kutafuta connection hawampi Passportì

Sasa wamwige mama Samia kutafuta connection kivipi wakati hawawezi pata hata Passport wakiandika kuwa wanaomba ili waende Marekani kutafuta connection?

Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.Waombe haraka msamaha graduates kwa udhalilishaji huo ulioandika hopeless kabisa wewe

Kichwani bwege tu wewe
 
1. Lissu hakusema atawapa MASHOGA haki zao.

2. Samia anaeleza ukweli wake. Usimpangie cha kuzungumza. Hao washauri ndo wamemshauri ashindilie msumari
 
Mimi nadhani viongozi wetu ndio wenye matatizo maana nchi nyingine misimamo yao inafahamika na hawana haja ya kujidhalilisha namna hii ili wapate investors.

Bostwana hapo wana Almasi na kila mtu anajua kwamba ukitaka kuwekeza Serikali inapata 51% na mwekezaji 49% hilo wote wanafahamu na bado wanapata investors na bado nchi sio maskini.

Sisi tunashindwa nini??

Mwisho wa siku inakuja tu kwamba hatuna viongozi ambao ni committed kwa maendeleo yetu, wengi ni kwa ajili ya maslahi binafsi.

Until then hali itabakia hii hii.
 
Hapo tuko pamoja mkuu. Tunahitaji Dira ya taifa, sio dira ya Rais.
Hata Gwajima alilisema hili juzi bungeni
 

huwezi organise serikali iliyoingia madarakani kwa kuuwa watu na kuiba kura
 
Acha usanii alijibu ukweli wa nafsi yake kwamba yeye alikuwa na mtazamo tofauti na boss wake kuhusu Covid-19, ikionekana amekosea ibaki hivyo I we sehemu ya CV take, kila MTU abebe mzigo wake ndio uwezo wake
 
she responded correctly but not the best response.
Correct how and how best is best response? Dimensions zipi unatumia , kama alichemka ibaki hivyo bado ni Rais no doubt ila upeo wake na dunia itamtazama hivyo hakuna wa kubeba upeo wake ya kwake abebe aibu hatuwezi kumpandikiza akili mpya
 
Asante sana hio ndio integrity na dhana ya kubebeana na kutunziana sasa yeye anaivua nguo nchi, kilaza wa kutupwa dio anaweza asiwe sensitive, Mungu atusaidie
 
Kasema ilikuwa ngumu kufanya kazi na Magufuli..Was this necessary?
 
Damn pole kijana.

Itakuwa sipo Tanzania asee,  kapiga hatua gani mkuu ambazo huku nilipo sizijui au sizioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…