Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Kuna wapuuzi humu walikuwa wanasema corona corona.

R.I.P JPM
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Naona Leo wamevaa barakoa. This is a complete U_turn of Mwendazake policies on covid 19 containment.
Asante Mama kwa move hii, highly welcome Mama.
Hakuna namna , vinginevyo watapukutika wote .
 
Hata Sophia Simba alipovuliwa uwananchama wa CCM Speaker aliufuta ubunge wake lakini ni Speaker huyohuyo anaomba muhtasari wa kikao cha kuwafuta Ubunge Mzee Halima na wenzake pamoja na Katiba ya Chadema.
Mkuu ulichovuta leo hakiendan na umri wako. Kinachojadiliwa kingine, na ulichokimbilia kuandika kingine!
 
Naona Leo wamevaa barakoa. This is a complete U_turn of Mwendazake policies on covid 19 containment.
Asante Mama kwa move hii, highly welcome Mama.
Sisi tuliosoma sana na kupitia mambo ya biology au zoology, hiyo heading umeamua kuwakoga watu kwa kuandika process ya kibaiolojia ya makuzi inayowatokea wanyama jamii ya snail, lengo ni nini? Torsion haina uhusiano au ufanano na U-turn!
 
1620397143409.png

Jamani, barakoa tele! Maendeleo hayo?
Analeta desturi za Kenya (na za dunia....)?
Ila zinasaidia kiasi tu wakati watu wanabanana ndani ya ukumbi . . .
 
IIi kuwalinda wazee wetu tumeamua kuvaa barakoa
 
Statistics za serikali sizielewi.

Wazee 2M.

Population 60M

Tax payers 3M.

Employed: Total 2M hii ni private plus 600k approximately of government employees.

Hii nchi 55M ni work force ondoa watoto na wategemezi wa miaka 0 hadi 21 ambao tufanye maximum ni 25M, maana yake nguvu kazi ni 30M, lakini walipa kodi hawafiki 4M.

Hii nchi walipakodi wangefika hata 8M tungekua mbali sana

Hii nchi haiwezi kwenda mbali.
 
Ili tuwakinge wazee wetu, tumeamua leo tuvae barakoa, mkusanyiko huu ni mkubwa na huwezi kujua nani ana ugonjwa nani hana. Naomba mtuwie radhi leo, ule uhuru wenu wa kuvuta hewa, leo umbanika kidogo. Mtusamehe. Hii yote ni kuwakinga nyie
 
Back
Top Bottom