misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Huko kwao wanavaa au tunafanyiana mazingaombwe tu?ili kuwalinda wazee wetu tumeamua kuvaa barakoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwao wanavaa au tunafanyiana mazingaombwe tu?ili kuwalinda wazee wetu tumeamua kuvaa barakoa
Jibu kulipata ni ngumuHuko kwao wanavaa au tunafanyiana mazingaombwe tu?
Dawa ni sekta binafsiStatistics za serikali sizielewi.
Wazee 2M.
Population 60M
Tax payers 3M
Dependants 55M
Hii nchi haiwezi kwenda mbali.
Ndio mambo yetu wabongo hayo, hata hatueleweki ndio maana mtu mzima miaka 30 unakuta ana baba mdogo ana miaka 6Statistics za serikali sizielewi.
Wazee 2M.
Population 60M
Tax payers 3M
Dependants 55M
Hii nchi haiwezi kwenda mbali.
Waambie haoTangu lini Chadema iwe na wazee??
Kwani umri wa Chama tayari ushafikia kiwango cha watu kuzeeka?
Mwenye jibu aseme hapa!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam
Tunakuletea updates hapa
Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa
Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika Hospitalini
Tunaomba Rais Samia tunapokuwa Hospitalini, tupate vipimo na dawa zote kadri ya Magonjwa yanayotusibu
Tunakupongeza kwa kusimamia Sheria na Utawala bora. Tunaomba juhudi ziendelee ili kushughulikia kero za Wananchi
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vifanye kazi kwa Sheria, Kanuni na Utaratibu waliojiwekea. Inapobidi Wananchi washirikishwe ili kuondoa manung'uniko
Wazee tunaomba Vyombo vyote vya Usafiri wa Umma vitenge viti maalum vya kukaa wazee
Pia, vihimizwe kuhakikisha vinawabeba wajukuu zetu ambao ni Wanafunzi wanapokwenda na kurudi shuleni
Kuna uwakilishi wa makundi mbalimbali #Bungeni lakini Wazee hatuna uwakilishi
Hivyo tunaomba na sisi ikikupendeza Rais, tupewe nafasi hiyo ili tupate Watu wa kutusemea matatizo yetu kwenye Vyombo vya Mamlaka
Waziri wa Afya - Dkt. Dorothy Gwajima
Wazee wanazidi kuongezeka. Mwaka 2012 kulikuwa na Wazee milioni 2.5 sawa na asilimia 5.6 na hivi sasa wameshafika milioni 2.52.
Mauaji ya wazee yamepungua kutoka 577 mwaka 2014 hadi wazee 34 mwezi Desemba mwaka 2020.
Vyama vingine vimejaa wakora wabobezi tuNimeona watoa hotuba baadhi Yao wakifanya reference ya CCM na si vyama vyote vya siasa kwa ujumla. Rais ni wa Watanzania, atakayoyahutubia yanahusu watanzania wote na siasa za nchi zina ubia Kati ya vyama vya upinzani na chama tawala. Hilo hakipendezi kwa mshikamano wa Taifa na uungwaji mkono wa serikali ya awamu ya sita.
Washereheshai mmefanya kosa kubwa, lirekebishe hilo next time.
Huyu Dorothy Gwajima apelekwe hata kwenye seminar ya week moja ajifunze jinsi ya kuongea na kusimama vizuri mbele ya viongozi wakubwa wa nchi.
Yani anaongea kama chiriku halafu shingo kalaza upande utafikiri yupo kwenye Vicoba.