Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

January ndie waziri bora katika Mawaziri wote. Kama swala la kukatika umeme Tanzania lisikusumbue, utakatika sana maana miundombinu yetu na Jiografia yetu ni halijojo, ata tukiwekeza vipi. Mafanikio huja kwa kutatua changamoto kidogo kidogo. January is there to work and stay, uku mtaani hakuna ata anae lalamikia umeme, ila nyinyi watafuta nyasifa mnatujazia mineno miiiingi.
 
Januari kakata mirija au kakata umeme kwa mkandarasi wa jnhpp na kusababisha deni la billion 18? Hilo deni atalilipa yeye na maharage wake? Huko ni kumhujumu rais SSH wazi wazi. Hivi nyie watu akili mmeziwekeza kwa nani?
Wewe unajua umeme unaokwenda bwawa la Julius Nyerere unatokea wapi au unaongea tu. Umeme unatokea bigwa Morogoro kwa nguzo za miti juu ya Milima ya Uluguru ,Matombo, Mvua hadi Kisaki Kilometers 180, plus Kisaki hadi stiglers kama km 60 hivi za nguzo za miti. Radi za milima ya Uluguru, kukatika miti ya milimani, moto wa mabonde ya mvuha kule kwa wafugaji, plus Kilometers 240 zisizokuwa na Sub station huwa umeme hauwezi mfikia mkandarasi kwa wakati. Halimashuri ya Morogoro kule Mvuha huwa wanafanya kazi usiku ili kusubiri restore ya umeme unaokatika mara kwa mara kutokata na Jiografia ya Milima. Je Magufuli hakuliona ili kwamba umeme ni dhaifu wakati anaanzisha bwawa hilo, inakuaje umeme unaosambazwa kwa ajiri ya REA vijijini kwa ajiri ya wakulima, huo huo ukatumiwe na mradi wa tirilioni 4. Makamba piga kazi na CCM endeleeni kutawala, wabongo yao midomo tu
 
January ndie waziri bora katika Mawaziri wote. Kama swala la kukatika umeme Tanzania lisikusumbue, utakatika sana maana miundombinu yetu na Jiografia yetu ni halijojo, ata tukiwekeza vipi. Mafanikio huja kwa kutatua changamoto kidogo kidogo. January is there to work and stay, uku mtaani hakuna ata anae lalamikia umeme, ila nyinyi watafuta nyasifa mnatujazia mineno miiiingi.
Ubora wake nini ?
 
Back
Top Bottom