Mnataka mpaka afoke wakati Ana deal na madudu ya report kwa utaratibu kabisa? Unajua alichokisema kwenye pesa ya mikopo ya halmashauri, NDC na TTC ACHENI CHUKI NYIE
 
Ndege za JPM kipindi tunasema hazifai mlitutolea povu Leo yakwapi Sasa? Punguzeni ujuaji sukuma gang
kitendo cha kuona ndege hazifai ni ukosefu wa uerevu kwa hiyo ulikuwa unataka Taifa lisilokuwa na ndege kisa kuogopa hasara?waza nje ya box wewe acha kujizima data
 
Yaani mkuu hata inakera ni kma vile anapiga story wkt mabilioni inaonekana yamepigwa, haoni hata uchungu atoe karipio.
 
Hayo mandege yenu ni upuuzi tuu na hasara inazidi kuongezeka badala ya kupungua.
 
ATCL na TRC ni vichomi.

Huu ni Mwanzo tuu hasara zaidi zitakuja baada ya Sgr Kukamilika.
 
Nimeona CAG kapiga mzinga nyuki wamesambaa. TTCL, TRC, GPSA, TANAPA, TAA ni mashirika yenye kero kubwa sana na wananchi. Hao GIPSA tumewaagiza kununua magari mawili kwa ajili idara ya maendeleo ya jamii na Fedha huu ni mwaka wa pili. Ukienda unaombwa kujiongeza yaani utoe rushwa ili followup ifanyike. Uongozi ufumuliwe hauna tija
 
Badala ya kukemea upotevu wa fedha za uma anahamasisha upotevu🐒🐒🐒


Your browser is not able to display this video.
 
Mnataka mpaka afoke wakati Ana deal na madudu ya report kwa utaratibu kabisa? Unajua alichokisema kwenye pesa ya mikopo ya halmashauri, NDC na TTC ACHENI CHUKI NYIE
Mwaka uliopita ni hatua gani alichukua kwa upotevu uliotokea?

Pia hii kusema pesa za halmashauri ziende badala ya kuchukua hatua kwa wlaiofuja hizo pesa nayo ni hatua nzuri? Kwa nn hao waliofuja pesa wasichukuliwe hatua alafu hayo mengine yaendelee pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…