Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Sorry naomba kusaidiwa Kuna hatua moja imenipa utata nikiweka mwaka wangu wa kuhitimu inaniletea "undefined" shida inaweza kuwa ni wapi
 
kujifariji huko
 
shida elimu inalenga kuwavusha watu ionekane imefaulisha na sio kuwaandaa watu kuyakabiri maisha yao , Tukirekebisha hapa bas tutaondoa hv vilio vya ajira pia serikali lazima iunde mfumo wa kuwapa mikopo vijana wenye idea ya uwekezaj
 
Tuendelee kupitia mabadiliko ya kukosajili..

Japo uhalisia sehemu ya kuandika namba ya form 4 haipo
 
mshahara Tsh 500,000/= ukoo mzima wanakuja kwako kwanini usiseme unanyonywa
Aisee hayo ndiyo maisha halisi ya Mtanzania masikini. Mshahara mdogo ila ndugu nao wanamuangalia wote. Umasikini mbaya sana. Na ukicheka nao unakuingiza hata kidole makalioni. Hakuna kucheka na umasikini, unatakiwa kuchukiwa kuliko chochote ukiacha dhambi.
Kuna watu kwao umasikini umetaga na mayai kabisa.[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
hahahaaa huwa nawashauri vijana wajitahifi kuepuka kuwa donor country pindi wanapoanza kaz atleast kwa miaka 2 hadi 5 ya kujijenga kwanza usiwe tegemea mshahara tu
 
Hongeraah umeamua kua MWALIMU wa maisha yako ...
 
Serikali iajiri walimu kwa kuzingatia miaka waliyohitimu haingii akilini anaajiriwa mhitimu wa 2020 au 2021 anaachwa wa 2016 malizeni wa mwaka mmoja ndipo mhamie wa mwaka unaofuata.Pia serikali isidanganyike na porojo za eti kuna walimu wako mashuleni wanajitolea hakuna kitu kama hicho . Ninachokiona tangu leo asubuhi ni wahitimu kuandaa chochote na kuongea na wakuu wa shule walimu wakuu kuwaandalia documents za kwamba walikuwa wanajitolea

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…