Kwani walimu wanaojitolea wamepewa kipaumbele?Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote
Dah aisee wew utaweza kufundisha kweli kwa uandishi huo?Wazee sehemu za kuweka barua zipo mbili pale kwenye machaguo ya shule na chini kwenye viambatanisho nikoweka barua kwenye viambatanisho inaniambia document hio ushaweka vipi nafanyaje je barua tofauti hapa au ileile nibadili jina la document
Fatilia bunge utaona wanavyopigiwa debe wanaojitoleaWalimu wanaojit
Kwani walimu wanaojitolea wamepewa kipaumbele?
Atakutana nazo mbele kwa mbeleCha msingi ajira ndugu au unataka secondary kama secondary Subiri za mdah mwingine uwenda wakaweka hyo
Wapi wameweka kigezo iko?Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote
Bunge lililojaa waimpa mapambioFatilia bunge utaona wanavyopigiwa debe wanaojitolea
Nimekose wapi hapo ??Dah aisee wew utaweza kufundisha kweli kwa uandishi huo?
Melezo uliyoandika hayaeleweki, jaribu kurudia kuyasoma .Nimekose wapi hapo ??
kama wao sio vilema kwanini wasiwe wabunifu wa maisha? badala ya kukupa mzigo mzito weweKuwa na 500K kwa Mwezi ni bahati kubwa kwa maisha haya hata ukoo mzima uwe unakuangalia mzee imagine baadhi yetu hatuna hata hio shilling 1 kwa siku na familia inatuangalia tuchangie tuungeunge watu wale full stress kuwa na mshahara ni mshahara tu unaweza fanya kiti ila now unayegemewa na kitu huwezi fanya
hahahaaa umeona asee , ukoo unakuandamana kama digidigi mgawane umaskin hlf badae wanakusema kuwa ulipata mchongo ila hukujenga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]iyo ni hela ya kula mtu mmoja sio ukoo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
lzm wanaokuzunguka wajifunze kujitegemea pia wazaz wapambane kuish kama walivyokuwa wanaish hapo awali kabla hujapata hiyo laki then wewe izungushe hiyo laki upate msingi mzuri wa biashara angalau mbili tatu ili usitegemee sana hapo unapopata hiyo laki , ukisimama vzr anza kuwabeba kwa uhakika ndugu zako . mf km bado unaish home bas tumia elf 30 kwa usafir tu kwa mwez then pambana usevu 70k kwa mwaka ni 840k then nunua mashine ya juice mweke mtu , mwaka wa pili fanya hivyo chukua boda used unapata hata kwa 700k mpe mtu , mwaka wa tatu fanya hivyo pia ambapo naamin kwa source hz tatu za kipato hukosi 2M fungua hata duka la mahitaj madogo , baada ya hapo jipange kutoka nyumban la sivyo utakuwa na mzgo mzito hata chumv watakusubir uwape ela , kapange then saidia pale panahitajika tu AHSANTEE , USIJITIE MUNGU KWAMBA WW NDO MTATUZ WA MATATIZO YA WATU , HUEZ TATUA MATATIZO YA WATU KWA HIYO 100kKwanza hiyo kubwa, watu tunapata laki huku tunakojitolea na familia zinztutegemea.
Ahsante Kwa ushauri mkuu. Nitakufanyia kazi hili. Pia usisahau kuniombea kwenye haya maombi ya ualimulzm wanaokuzunguka wajifunze kujitegemea pia wazaz wapambane kuish kama walivyokuwa wanaish hapo awali kabla hujapata hiyo laki then wewe izungushe hiyo laki upate msingi mzuri wa biashara angalau mbili tatu ili usitegemee sana hapo unapopata hiyo laki , ukisimama vzr anza kuwabeba kwa uhakika ndugu zako . mf km bado unaish home bas tumia elf 30 kwa usafir tu kwa mwez then pambana usevu 70k kwa mwaka ni 840k then nunua mashine ya juice mweke mtu , mwaka wa pili fanya hivyo chukua boda used unapata hata kwa 700k mpe mtu , mwaka wa tatu fanya hivyo pia ambapo naamin kwa source hz tatu za kipato hukosi 2M fungua hata duka la mahitaj madogo , baada ya hapo jipange kutoka nyumban la sivyo utakuwa na mzgo mzito hata chumv watakusubir uwape ela , kapange then saidia pale panahitajika tu AHSANTEE , USIJITIE MUNGU KWAMBA WW NDO MTATUZ WA MATATIZO YA WATU , HUEZ TATUA MATATIZO YA WATU KWA HIYO 100k
pamoja mim nishaufanyia kaz wamenuna saba ila sasa hv wanaanza kuona matundaAhsante Kwa ushauri mkuu. Nitakufanyia kazi hili. Pia usisahau kuniombea kwenye haya maombi ya ualimu
Ahsante Kwa ushauri mkuu. Nitakufanyia kazi hili. Pia usisahau kuniombea kwenye haya maombi ya ualimu
KomaIli kukabiliana na tatizo la ajira, serikali yapaswa ajiri angalau watu 50,000 kila mwaka.
Na ibadilishe mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote