Walimu wanaojit
Kwani walimu wanaojitolea wamepewa kipaumbele?Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote