Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Ili kukabiliana na tatizo la ajira, serikali yapaswa ajiri angalau watu 50,000 kila mwaka.

Na ibadilishe mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Bajeti kk, hilo lilipaswa kufanywa kwa mchakato wa kidogo kidogo tangu wakati wa MAGUFULI
 
Bajeti kk, hilo lilipaswa kufanywa kwa mchakato wa kidogo kidogo tangu wakati wa MAGUFULI
Serikali yatakiwa ijitafakari hili swala la kuajiri watu 21,000 kwa mwaka na wanaohitimu ni zaidi ya 100,000 kwa vyuo vikuu na vya kati, hili swala litaleta shida

Serikali itafute vyanzo vya mapato vipya ili waajiri Walimu, Afya, Kodi

Mf kwa Mwaka huu Darasa la Kwanza ni zaidi ya 1.2mil ila walimu ni wale wale
 
Kozi za masikini ni
•Afya
•Elimu
•Kilimo
• uvuvi
Hizi utaendeleza umasikini ukooni kwenu

Kozi za wato masikini wenye ndoto za kupata unafuu wa maisha ni
•Mechanical engineering (fani yangu)
•Electrical engineering
•ICT
Mkuu usinisahau katika ufalme wako ili nami nilambe asali....[emoji143]
 
Kozi za masikini ni
•Afya
•Elimu
•Kilimo
• uvuvi
Hizi utaendeleza umasikini ukooni kwenu

Kozi za wato masikini wenye ndoto za kupata unafuu wa maisha ni
•Mechanical engineering (fani yangu)
•Electrical engineering
•ICT
Tupe kozi za matajiri sasa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom