Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

Unaposema watu hawana cha kuzungumza wakati wakizungumza badala ya kuwajibu unadai umeziba masikio, unaonesha usivyojielewa.

Kutumia silaha ya kunyamaza badala ya kuwajibu kunaonesha usivyojitambua, usiyejua wajibu wako kwa wale unaowaongoza, umejiachia tu nature ikuongoze, halafu ajabu unajiona mshindi!.

Hata anaposema "anatukanwa" hicho ni kisingizio tu cha kukwepa kujibu hoja, na maswali anayoulizwa.
Wakati mwingine ukimya ni silaha nzuri ila ukimya huo uambatane na kutatua kero zinazosemwa.
Nimekuja kugundua kuwa ukiwa kiongozi wa nchi yenye mfumo wa vyama vingi vilivyo huru, ni rahisi sana kuendelea kutawala maana matatizo yote wanakwambia, wewe kazi yako ni kuyatatua halafu ukifika uchaguzi wanakosa hoja - unaendelea kutawala. Ndiyo maana kuna msemo wa hekima kuwa upinzani ni kioo cha watawala
 
Huo mtazamo wako; ila dakika kadhaa za tuliyempa dhamana zime reduce to ZERO miruko yote ya +255
  1. Hakuna katiba hadi watu wote tuelewe- mzituburuze
  2. Bandari HGA, concession and lease agreement ziko mezani- soon maboresho yanaanza
Kumbe hakuna haja ya kwazuia wala kuwakamata na kuwafungulia kesi.
 
Hivi pia kwa mfano ukisema Waziri wa mambo ya ndani wamewadhulumu Polisi uniforms zao kwa kugawana bajeti nzima ya sare zao shillings Billioni 22 na kulilipa Malipo hewa watakuwa wametukana?
 
CDM haina mwenyekiti kwa kweli huwezi kumuamchia mtu kama mdude na tundu wakisemee chama ili kiwe na wafuasi wengi zaidi ya kukipoteza chama kwenye ramani, chama hakina sera zenye tija kwa taifa zaidi ya matusi na vitisho yaani ni hovyo kabisa mara katiba mpya mara bandari ni vurugu tupu.
 
Baki CCM. Ukiona Rais anawehuka kisa CHADEMA wewe nani na maneno yako ya viniweni?.
 
CDM haina mwenyekiti kwa kweli huwezi kumuamchia mtu kama mdude na tundu wakisemee chama ili kiwe na wafuasi wengi zaidi ya kukipoteza chama kwenye ramani, chama hakina sera zenye tija kwa taifa zaidi ya matusi na vitisho yaani ni hovyo kabisa mara katiba mpya mara bandari ni vurugu tupu.
Tutawahukumu sisi wenyewe
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
Very stupid woman kabisa, yaani huyu ni rais bahati mbaya!kwanza haki ya kuzungumza "huitoi kwa watu" Ipo ni haki ya kuzaliwa! Ma CCM huwa wanaizuia kijambazi tu!!
Who cares about her religion!
Nchi inaenda kama kuku asie na kichwa!
Huyu ni raisi mbovu kuwahi kutokea hapa nchini,
 
Lazime CCM, Msajili wa Vyama pia watawala wakasirike maana mdau mkubwa CHADEMA kutotokea leo huku kuna wadau wa maendeleo kutoka balozi za ulaya wamefika ukumbini na lazima mabalozi watajiuliza sababu za chama kikuu cha upinzani CHADEMA kutotokea kuna kitu hakipo sawa.

PICHA YA MABALOZI WA ULAYA UKUMBINI YABEBA UJUMBE MZITO KWA SIKU YA LEO
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
View attachment 2745858
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023

Sijawahi kuona mheshimiwa rais akitoa hotuba kwa hali hii

View: https://m.youtube.com/watch?v=oU30qdzvBkE
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
Siku zote akili ndogo kujadili watu.
 
CDM haina mwenyekiti kwa kweli huwezi kumuamchia mtu kama mdude na tundu wakisemee chama ili kiwe na wafuasi wengi zaidi ya kukipoteza chama kwenye ramani, chama hakina sera zenye tija kwa taifa zaidi ya matusi na vitisho yaani ni hovyo kabisa mara katiba mpya mara bandari ni vurugu tupu.
Kibajaji naMsukuma wao sawa
 
Akiendelea kuleta ujinga wake wampumzishe mahabusu tu .
Samia kasema utawala wake unafuata sheria na katiba ya 77.

Polisi wanafanya kazi hadi jumapili na dhamana wanatoa na si ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia

Tatizo ni kwamba sera ambazo sio zako ni rahisi kuhisi ni kukashifu. Mfano mtu akisema bandari inauzwa kwa Raisi anaweza kusema ni kashfa lakini ulitaka aseme vipi.

Basi Raisi Samia atoe maelekezo kwa wapinzani waongee vipi sera ambazo hawakubaliani naye bila kuitwa kashfa. Atoa maelezo mtu akisema reporti ya CAG ina wizi na madudu mengi ni tusi au? viongozi waliopeteza pesa za umma wakiitwa mafisafi ni kuwakashifu au? yaani Raisi na CCM wanataka wapinzani wawe wapambe tu! eti ndiyo "demokrasia ya Tanzania" huu ni ujinga
 
Back
Top Bottom