Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

Alichokosea ni kuwa alipo pokea kijiti, aliongoza TZ kwa akili za kuambiwa bila kuchanganya na zake. Hii historia itatembea kwenye kizazi chake chote.
 
Mimi kanifundisha usitukane mamba kabla hujavuka mto,alimtukana sana Magufuli hope kwa maelekezo au kushawishiwa na Kikwete,lakini leo yeye na JK wote wamechafuka
Kuna kale ka clip jk akipepesa macho. Kanatia aibu sana
 
Mie nilipigia mstari pale alipotuwekea mwanae wa kumzaa kuwa naibu waziri, uthubutu wa hovyo haijapata kutokea ktk taifa letu!!!.
 
Amevunja rekodi zote mbaya za JPM!

Angalia mtu kama Lisu yuko ndani mwaka sasa kwa kosa gani?

Kiongozi gani wa upinzani alifungwa mwaka mzima na JPM?

Huyu mama kaingia tu kamtia Mbowe ndani.

JPM na ukatili wote hatukuwa tunaingia jf kwa vpn
 
Mkuu inashanga sana, hata Mwigulu nae speech nzima ni kusema sema watu na kuleta umbea wa kuchamba utafikir ni taarabu ya enzi za akina Hadija Koppa na Nasma Hamis Kidogo enzi wapo kwenye peak.
 
Mtu unakuwa mjinga mpaka unaaamua kuandamana kisa Umeambiwa jeshi litakulinda na kusahau hapa ni Africa
 
Mtu unakuwa mjinga mpaka unaaamua kuandamana kisa Umeambiwa jeshi litakulinda na kusahau hapa ni Africa
Ukitazama picha za awali wakati maandamano yanaanza, nikweli kbs jeshi lililinda waandamanaji...mambo yaligeuka pindi wahuni wachache waliojipenyeza walipoanza uporaji na uhalifu...hapo jeshi likajiuliza litaonekanaje mbele ya mamlaka kwamba linasapoti uhalifu?!.
 
Dogo naona umekataa kufikiria vema

Massacre iliyotokea TZ ni historical event ikiambatana na jina la Samia

Rais ajae cha kwanza baada ya kuapishwa atatakiwa kuwaomba msamaha kwa alichokifanya Samia , msamaha utaambatana kwa kuwachukulia hatua Samia na timu yake yote - huenda ndio nchi itapata rehema . Najua timu JK itapambana kuweka mtu wake Ila wata feli

Kwa akili ya kawaida kulikuwa na njia nyingi za kuwadhoofisha waaandamanaji bila ya kuuwa.


Hili lazima lije kulipwa for the same amount of bloodshed
 

Maisha yake yalibaki ni mafupi sana! Ataozea jehenam!
 
Sio kweli . Tunamifumo ya usalama dhaifu. Rais ukishakuwa na incompetency….. hata watu wa chini wataenda na incompetency yako

Polisi wengi ni form 4 failure , je unategemea nini ?
 
itakuwa hajaelewa nini maaana ya mtu kuitwa Rais wa nchi . Na ndio maana tunasema nchi ipo chini ya wahuni na matapeli kwa sasa
Unaua watoto zako na kujiona shujaa ;
 
Hakuna zaidi ya kuuza mali za umma

Worst part kwa sasa anapambana na wananchi wake …… ndio kabisa hakuna atakachoweza kufanya zaidi ya kulinda power , nchi imeshaingia kwenye great depression time will tell


CCM wanasemaga nchi haijaribiwi:wao ndio sasa wameenda kuiweka nchi kwa majaribu

It is historical moment kwenye our country history . Nchi iliundwa kwa heshima over 60 years , it took days kuharibu legecy ya nchi just for incompetency and greed.
Watu walisema na wakasema tena but ignorance ni tatizo

Two things are Infinity kwenye dunia hii, the universe and mans stupidity

It Will take next 60 years kuirudisha nchi kwenye normal state , Samia amebeba roho ya kishetani na siku zote shetani anapitia kwa mwanamke, alaaniwe samia kwenye kila kinywa cha mtanzania mpaka siku anayoingia kaburini….. and honestly she will never make it
 
Sawa boss
 
Muwe mnatafakari kwanza kabla ya kuandika maoni yenu, kwa hiki ulichoandika tukikuita mpumbavu utasema umeonewa? Jamii forum nowdays imevamiwa kwa kasi na watu wajinga wajinga
 
itakuwa hajaelewa nini maaana ya mtu kuitwa Rais wa nchi . Na ndio maana tunasema nchi ipo chini ya wahuni na matapeli kwa sasa
Unaua watoto zako na kujiona shujaa ;
Hakika, hata wana ccm wa kweli wanasema hii ya sasa sio ccm bali ni genge la wahuni waliokiteka chama na nchi kwa ujumla.

Na ndio maana sasa hivi wanachojali ni kushirikia madaraka tu kwa njia yoyote ile, wala hata hawajali taifa linaelekea wapi.

Matahira kma huyo hawajui athari ya kuitetea na kuipa nguvu serikali haramu ndio maana wanaropoka tu
 
Nadhani pia itakuwa mara ya mwisho Tanganyika kuongozwa na mzenji!

Ameharibu mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…