PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mchengerwa waziri, Wanu waziri, mtoto wa Kikwete waziri, Tanzania hakuna wengine? This is abuse of office.
 
Imekuaje kwa BITEKO?

Au ndo maswala ya Uraia yame back fire,
Jamaa lazima apate SONONA, Kutoka kuongoza wizara mbili, Ulinzi mkali, mpaka kua USELESS hana hata ulinzi wala usafiri wa umma 🤪

Kweli ma SISIM kiboko
 
Anawaharibia cv zao tu kwa kuwa tue shortest serving ministers in history of Tanzania.

Ila bibi halina aibu hili, yani baada y yote haya, she still has the guts of putting her daughter in the cabinet.
 
Hii nchi tukivuka hiki chama cha veggies kifutwe kimetuachia maumivu sana..!!
Wakati sisi tuko busy kulipa kodi huku mzunguko wa biashara ukiwa mahututi mtaani! Wenyewe wako busy kununua magari ya kifahari na pia kugawana vyeo. Hawa wahuni wasipo ondoka madarakani, hakika watatuua raia wengi kwa presha na msongo wa mawazo.
 
Anaweza kutangaza yeye kama ni baraza kubwa au akampasia CS kama ni mabadiliko ingawa anaweza kuamua chochote apasie au atangaze yeye

Yah right. Rais wa Tanzania anaweza kufanya lolote na vyovyote kama impendezavyo.

Nimesikia kama vile kataja na jina la Mwanae kama Naibu Waziri au jina limefanana tu?
 
Imekuaje kwa BITEKO?

Au ndo maswala ya Uraia yame back fire,
Jamaa lazima apate SONONA, Kutoka kuongoza wizara mbili, Ulinzi mkali, mpaka kua USELESS hana hata ulinzi wala usafiri wa umma 🤪

Kweli ma SISIM kiboko
Ilikuwa kondomu hiyo ya kumpatia kura za kanda ya ziwa. Ishatumika na ishatupwa kule 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…