Rais kasema wale wahanga watajengewa nyumba za kudumu,Sijafatilia kilichokuwa kinaendelea huko ila nnngependa ingekuwa ni misaada kwa wingi then hutuba iwe ya rais tuu tena kwa kusimama pale juu ya gari
Nchi za watu vilaza zinazoongozwa na watu vilazaYani Leo ilikuwa vituko. Yani ziara ya maafa ikageuka mkutano wa kumsifu na kumuabudu Rais. Aibu kubwa Sana.
Ni aibu kubwa sana, tena walivaa kabisa na Jezi zao za chama.Yani Leo ilikuwa vituko. Yani ziara ya maafa ikageuka mkutano wa kumsifu na kumuabudu Rais. Aibu kubwa Sana.
Unyama 💪Rais kasema wale wahanga watajengewa nyumba za kudumu,
Alikuwa akipongezwa Kwa kufiwa!!Yani Leo ilikuwa vituko. Yani ziara ya maafa ikageuka mkutano wa kumsifu na kumuabudu Rais. Aibu kubwa Sana.
Ndugu Freeman Aikael Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha siasa nchini anapokwenda katika shughuli yenye itifaki ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT SAMIA SULUHU HASSAN taarifa zinapaswa kupatikana mapema Je uwepo wa Mbowe Hanang, CHADEMA kilitoa taarifa na Je walikuwa sehemu ya Itifaki?majibu ya Sauti ya matukio ni wazi kutokuwepo taarifa za ujio uwepo wake,
Mbowe amekuwa sehemu ya wananchi wa kawaida kuzuiwa kutokana na taratibu za Itifaki ambapo maeneo aliyokuwa alikusudia kutembelea yalikuwa sehemu ya itifaki ya Mfariji Mkuu wa Taifa ndio maana kwa hekima kubwa kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara amekutana nae na baada ya kujua amefika Mkoani Manyara kuungana na Rais Samia kutoa pole na ratiba ya kutembelea wahanga,itifaki yake ikaandaliwa na kuruhusiwa kuungana na Dkt Samia katika shughuli ya Hanang, lakini yeye na timu yake wakaamua kuishia Babati bila kufika katika eneo la maafa.
Kwahiyo ?MAMBO YALIYOFANYWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA, KATIKA KUKABILIANA NA MAAFA YA HANANG
● Serikali Imewaokoa Watanzania 117 na waliopewa huduma bure za matibabu kupitia gharama iliyobebwa na Rais Samia.
● Serikali imegharamia mazishi ya Watanzania 79 waliofariki kwenye maafa ya Hanang.
● Serikali inaendelea na zoezi la kutafuta miili ya watanzania wengine walioathirika na maafa hayo.
● Serikali imeanzisha makazi ya muda kwa wakazi 440 ambao walipoteza makazi yao ya kudumu.
● Serikali inatoa huduma za Malazi, Afya, Chakula, usafi pamoja na huduma za kisaikolojia.
● Serikali imeendelea kugawa misaada mbalimbali kutoka kwa Sekta mbalimbali.
● Serikali inaendelea kusikiliza na kutatua changamoto za mtu mmoja mmoja walioathirika na maafa.
● Serikali imetoa Askari 1200 wanaohusika kwenye zoezi la uokoaji wa maafa.
● Setikali imeandaa chakula kinachotosha kwa siku 30 kwa ajili ya wananchi.
● Serikali inapambana kurejesha miundombinu inayotakiwa kwenye mitaa na vijiji na huduma za biashara zimeanza kurejea.
● Serikali imerejesha tena huduma za umeme Hanang Transfoma 79 zimerejeshwa na Nguzo 600 zimesimamishwa tena.
● Serikali imeanza kuchimba visima 10 vya maji, pia imeleta matanki ya maji yenye lita za maji 5000.
● Serikali imetoa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi Milioni 300.
Nyie mlikatazwa kuvaa uniform zenu za CHADOMO? CCM ni chama cha watu kipo na watu wakati wote wa raha na matatizo.Hili ndio jambo la Aibu la kufungia Mwaka 2023, lakini cha kushangaza ni kwamba Wananchi wa Hanang ni kama wamepuuza ujio huo huku wakionekana wazi kujitenga, pamoja na ukweli kwamba wana uhitaji sana , lakini hawana furaha na ugeni huo.
Nadhani shida kubwa ni kugeuza maafa haya kuwa shughuli ya ccm , Wanajeshi wanaofanya kazi kufa na kupona hawatambuliki tena!
Kiukweli Jambo hili ni Aibu kwa Taifa.
Usilie basiNyie mlikatazwa kuvaa uniform zenu za CHADOMO? CCM ni chama cha watu kipo na watu wakati wote wa raha na matatizo.
Nyie na Rais nani aliepuuzwa. Mmedoda. Na michango mmekosa😂😂Hili ndio jambo la Aibu la kufungia Mwaka 2023, lakini cha kushangaza ni kwamba Wananchi wa Hanang ni kama wamepuuza ujio huo huku wakionekana wazi kujitenga, pamoja na ukweli kwamba wana uhitaji sana , lakini hawana furaha na ugeni huo.
Nadhani shida kubwa ni kugeuza maafa haya kuwa shughuli ya ccm , Wanajeshi wanaofanya kazi kufa na kupona hawatambuliki tena!
Kiukweli Jambo hili ni Aibu kwa Taifa.
Na yeye mwenyewe alikuwa pembeni na t-shirt yake kaweka mikono mifukoni Hana rahaa walipoona tamthilia yao imebuma na watu wamewapuuzaUmepiga kelele kwa sare za CCM mbona baadaye kina mbowe na magwanda yao ? Mnakielewa kweli mnacholalamikia wakati na nye mmevaa sare vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa majamaa ni FUTUHINa yeye mwenyewe alikuwa pembeni na t-shirt yake kaweka mikono mifukoni Hana rahaa walipoona tamthilia yao imebuma na watu wamewapuuza
Bila picha umbeaHili ndio jambo la Aibu la kufungia Mwaka 2023, lakini cha kushangaza ni kwamba Wananchi wa Hanang ni kama wamepuuza ujio huo huku wakionekana wazi kujitenga, pamoja na ukweli kwamba wana uhitaji sana , lakini hawana furaha na ugeni huo.
Nadhani shida kubwa ni kugeuza maafa haya kuwa shughuli ya ccm , Wanajeshi wanaofanya kazi kufa na kupona hawatambuliki tena!
Kiukweli Jambo hili ni Aibu kwa Taifa.
Vijana wa ufipa umekubali raisi ni mmoja tu nchi hii haya nendeni mkasalimie wagonjwa huko bugando nao pia ni watanzania na wanawahusu!