Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Picha za nini ?PICHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za nini ?PICHA
Unauliza majibuUnategemea watu waliofiwa wawe na furaha? Kwa iyo Gaidi Mbowe ndio atapeleka furaha huko?
Mbowe Leo na yeye aliandaa ziara akiwa na lundo la wanachadema wamevaa uniform za chamaHili ndio jambo la Aibu la kufungia Mwaka 2023 , lakini cha kushangaza ni kwamba Wananchi wa Hanang ni kama wamepuuza ujio huo huku wakionekana wazi kujitenga...
Majizi ya kura shughuli mnayo, mnajimilikisha msiba wa taifa! Hayo ndio madhara ya kukaa madarakani bila ridhaa ya umma.Ndio chama tawala kilichounda serikali wacha wajimwage nyinyi mlitaka kwenda kama nani?
Uteuzi llini mkuu?Ni aibu kwa CHADEMA ambayo ilitaka kutumia maafa haya kufanyia siasa zao chafu.kwa hakika CHADEMA ni li chama la hovyo sana .ndio maana linaendelea kupuuzwa na watanzania kila uchwao. Watu wapo kwenye majonzi halafu ninyi mnaleta siasa zenu uchwara.
Usikute na wewe ni graduate wa chuo cha mwalimu nyerere KIVUKONINdio chama tawala kilichounda serikali wacha wajimwage nyinyi mlitaka kwenda kama nani?
Wewe Lucas Mwashambwa ulitaka CHADEMA wapeleke misaada. Haya sasa wamepeleka na wamezuiwa. CCM wamejimilikisha mpaka maafa. Tukisema wao ndo chanzo cha maafa wasikatae.Ni aibu kwa CHADEMA ambayo ilitaka kutumia maafa haya kufanyia siasa zao chafu.kwa hakika CHADEMA ni li chama la hovyo sana .ndio maana linaendelea kupuuzwa na watanzania kila uchwao. Watu wapo kwenye majonzi halafu ninyi mnaleta siasa zenu uchwara.
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani na wala sijatuma barua ya kuomba uteuzi au kazi ya aina yoyote ile.mimi naendelea na shuguli zangu za kilimoUteuzi llini mkuu?
sawa namba ya simu ya nini? tuanzie hapaMimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani na wala sijatuma barua ya kuomba uteuzi au kazi ya aina yoyote ile.mimi naendelea na shuguli zangu za kilimo
Ile namba ni kwa ajili ya M - PESA siyo ?Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani na wala sijatuma barua ya kuomba uteuzi au kazi ya aina yoyote ile.mimi naendelea na shuguli zangu za kilimo
basi subiri tukuwekee , unajua hayo mapicha yao yanakera kiasi ambacho hatuoni haja hata ya kuweka hapa , itachafua jfSasa picha zipo wapi?
Weka picha tuone hiyena hiyena!
Raha ya shughuli hekaheka
Ni aibu kwa CHADEMA ambayo ilitaka kutumia maafa haya kufanyia siasa zao chafu.kwa hakika CHADEMA ni li chama la hovyo sana .ndio maana linaendelea kupuuzwa na watanzania kila uchwao. Watu wapo kwenye majonzi halafu ninyi mnaleta siasa zenu uchwara.
Wataalamu waekezea udongo kunyonya maji mengi katika mlima Hanang
14 October 2022
KIFAHAMU CHANZO CHA MAJI CHENYE MITO NANE NDANI YA MLIMA HANANG NA MSAADA WAKE KWA WANANCHI
View: https://m.youtube.com/watch?v=kXIktyk8JUU
Hizo ni maiti zilizopatikana mpaka sasaWalikufa watu 69 tu??? Kwa haya maelezo inaonekana jambo lilikuwa zito sana