Zanzibar ni equivalent na Mkoa wa Bara; Huyu wa na hilo Mkalitazame kwahio anasikiliza Kero ili Wakalitazame ?!!Kwa mwinyi zanz kila wiki alhamis ni siku ya kupeleka kero kwa rais Moja kwa Moja hata kama mgambo wanakupiga mitama nje ya ukuta wa ikulu
Zingine zilizobaki ni za ziara za nje ya nchi.Siku 12 kwa mwaka
Jambo jema msije mkasema muuza mahindi ana bastola kiunoni!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
A big joke.Siku 12 kwa mwaka
Alikuwa wapi muda wote huo?Au kasoma mambo ya nyakati?wacha inyeshe tutajua panapovuja.mbona tatizo la kikokotoo kwa wafanyakazi kashindwa kulitafutia ufumbuzi?kuna wafanyakazi wamestaafu kuanzia julai 2023 mwaka hata bima zao za afya wanasimbuliwa .Mara tunahitaji hiki mara kile mbona aliporudisha kadi mlizichukua na wakati mnamtengenezea hizo kadi mlitumia nyaraka gani?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Mama kafeli mapema mno"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja"
Kwa hiyo siku nyingine zote zilizobaki za Mwezi atakua anafanya shughuli gani!?
Anatakiwa aweke watu wake kila mkoa kusikiliza kama ni kesi nzito sana anapelekewa yeye azisovu. Ukubwa na uwingi wa watu sio tatizo mana hata mwinyi humuoni yeye mpaka ithibitishwe kweli hii shida ya kumuona. Kuna jamaa chini yake pale ikulu na hiyo ofis ya hivyo ipo active mpaka sasa hapo vugaZanzibar ni equivalent na Mkoa wa Bara; Huyu wa na hilo Mkalitazame kwahio anasikiliza Kero ili Wakalitazame ?!!
Utaratibu wa kuonana nae unakuwaje wakuu nataka nipeleke kero yangu muhimu sana..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Siku nyingine atakua anakula urefu wa kamba"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja"
Kwa hiyo siku nyingine zote zilizobaki za Mwezi atakua anafanya shughuli gani!?
Kwani hao watu hawapo ? Hivi ni Siasa tu; na uwepo wa Kero nyingi inaonyesha kazi haifanyiki..., Ila ndio hivyo Siasa ishakuwa maigizo wabongo wanapenda kuona hizo tamthiliya na hawa watawala kuuza Sura (ingawa hakuna kinachofanyika)Anatakiwa aweke watu wake kila mkoa kusikiliza kama ni kesi nzito sana anapelekewa yeye azisovu. Ukubwa na uwingi wa watu sio tatizo mana hata mwinyi humuoni yeye mpaka ithibitishwe kweli hii shida ya kumuona. Kuna jamaa chini yake pale ikulu na hiyo ofis ya hivyo ipo active mpaka sasa hapo vuga