Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Maoni yangu kwa jambo hili.
Mh rais ana wasaidizi wengi sana kuanzia ngazi ya mtaa/kijiji mpaka huko taifa.
Suala hili angetafuta namna nzuri zaidi ya kuendana nalo iwapo anahitaji kufanya hivyo ila sio kwa njia hii anayotaka kuitumia maana itamchosha sana na haiwezi kuwa effective hasa ukizingatia mama alivyo na ratiba nyingi.
Tanzania ni nchi kubwa sana na ina mikoa mingi, na wenye kero ni wengi sana kuliko wasiokua na kero.
🤣🤣🤣Siku nyingine atakua anakula urefu wa kamba
Wanasema, watendaji wake wamemwangusha😊Mama kafeli mapema mno
Mbona kero kubwa ya wananchi kuhusu bandari zetu kupewa waarabu hakuisikiliza?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
How?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Kwa shida tulizonazo Watanzania haziwezi kutoshaSiku 12 kwa mwaka
Huenda hakuulizwa hili.Mbona kero kubwa ya wananchi kuhusu bandari zetu kupewa waarabu hakuisikiliza?
Hakika!Hata ukimpa miaka mitano hawezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
Yaani hii ni sawa na kuajiriwa Kazi and then baada ya miaka mitatu unafanyiwa interview.Kwan hajuu matatizo ya nchii???hajui sukari imepanda,matibabu gharama juu,umeme hakuna
Rubber StampingKazi ya wabunge ni ipi sasa?
Tutaona mengi sana kipindi hiki tuna elekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Hawezi, kwa siku zinaweza kuingia sns hata 10,000, ataweza kusoma kweli? Labda wasaidizi wake wamsaidie!.Angeboresha Kwa kuweka Namba maalum kutumiwa sms,inaokoa muda,usumbufu WA kufuata huduma wale WA mbali.Hapa awe na kikosi maalum.