samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
Hii system ni kama vile rais amekubali kuwa mifumo ya nchi haifanyi kazi, amekubali kuwa wasaidizi wake hawafanyi kazi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Brother aren't you have any problems? We acha kama huna shida subir uone wenzako wanavyosaidiwa, watu wana shida saa nyingine una dovlcment zoteAnother comedy.
Hivi ni kweli Ccm na serikali yooote hawajui kero za wananchi?? Kwa miaka 63 ya utawala wake?
Ukisikia kwamba Ccm ina tuona wajinga ni statment kama hizi.
Kero hijab kila uchwao hivyo huwezi sema zaelewekaAnother comedy.
Hivi ni kweli Ccm na serikali yooote hawajui kero za wananchi?? Kwa miaka 63 ya utawala wake?
Ukisikia kwamba Ccm ina tuona wajinga ni statment kama hizi.
Kapotoshwa nae kapotea, kama Rais ni wananchi wangapi wenye kero atakaowafikia kwa kutenga siku moja ktk mwezi? Ni Rais wa wapi hasiyejua kero za wananchi wake? Ni Samia huyuhuyu kuna kipindi alikataa kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja na kuwambia wananchi wazipeleke kwa wasaidizi wake, leo kapiga u-turnRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo kwa sababu kuu tatu moja ni kuwafanya viongozi wengine wawe na tabia ya kusikiliza kero za Wananchi, sababu ya pili ni kumuenzi Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi na jambo la tatu ni kutoa nafasi ya kutumia cheo na nyadhifa za uongozi kuwasaidia Wananchi"
View attachment 2925211
Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na mafunzo wa CCM
Mr. any problems, ni bora unyamaze tu. Rais ni kiongozi wa nchi, shida za kila mwananchi na nchi nzima ni za kwake. Kama siyo usanii atawezaje kuzitatua kwa kusikiliza mwannanchi mmojammoja?Brother aren't you have any problems? We acha kama huna shida subir uone wenzako wanavyosaidiwa, watu wana shida saa nyingine una dovlcment zote
Kabisa na nahisi kuna mtu anamfosi kufanya hivyo ndio maana amekuja kwa style ya kutu enjoy, we fikiria kwa kero zilivyokuwa nyingi atakuwa anasikiliza mmoja mmoja, serious?Hakika!
🤣🤣🤣🤣🤣. #Karagabao bwanaKwa mwinyi zanz kila wiki alhamis ni siku ya kupeleka kero kwa rais Moja kwa Moja hata kama mgambo wanakupiga mitama nje ya ukuta wa ikulu
Anajidanganya ....hakuna wa kumchagua 2025 isipokuwa mafisadi na raia feki wenzake na machawa wachache huo ndiyo ukweli .. yeye ategemee tu kutangazwa na tume kuwa rais ila siyo kupata ushindi wa kura ..... Samia na kundi la raia feki wenzake wana hofu sana juu ya kifo cha jpm ndiyo maana Samia ana lazimisha kubak8 ikulu kwa gharama yoyote ili ku buy time.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja