Ukurugenzi wa Mkoa ndio cheo gani mkuu?Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Labda alitaka kumaanisha RAS, maana kiprotokali huyu ndiye mtendaji mkuu/ accounting officer wa MkoaUkurugenzi wa Mkoa ndio cheo gani mkuu?
Ndio size yake ma DC tuNdiyo kazi anayo iweza huyo mzanzibari
Yes, labda. Of course hawa RAS kabla ya kuitwa hivyo na utawala wa Mkapa walikuwa wakiitwa Wakurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa ama Regional Development Director (RDD).Labda alitaka kumaanisha RAS, maana kiprotokali huyu ndiye mtendaji mkuu/ accounting officer wa Mkoa
Dah hatari sana, maisha haya ya hofu alituishisha mwenda zake du, sitayasahau.Mtu kashalala saa hizi kapasiwa na nguo za kesho za kazini, anamka asubuhi akiwa anamsubiria dereva wake aje amchukue anashangaa kupata breaking news kuwa katumbuliwa
Zamani nafasi hizi waliteuliwa watu wa usalama kwaajili ya kupokea na kuchakata taarifa zote za kimkoa, bahati mbaya miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakiteuliwa makada kuchukua nafasi za uRAS🙌Yes, labda. Of course hawa RAS kabla ya kuitwa hivyo na utawala wa Mkapa walikuwa wakiitwa Wakurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa ama Regional Development Director (RDD).
Watu wengi ambayo wanajicho kama la.mama Huwa wanadharau kinoma. Wanakuwa kama hawakuoni lakini subiria speed peni na karatasi.Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Kabisa. Hizi teuzi/tenguzi zinachosha masikioni.Hii mbinu haiwezi kuhamisha mjadala uliopo, ni mbinu ya kijinga..., tunataka vipengele vya mkataba vya kuiuza Tanganyika virekebishwe
Bandari zetuNdiyo kazi anayo iweza huyo mzanzibari
Kaji ni mtoto wa Justice of Appeal kaji?Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
sidhani kama ni sawa , unamtoa mtu kutoka national security council ,mpaka kurudi chini kabisa district levelAngempa hata ukuu wa mkoa.
Wale waliitwa ma RDD enzi za mkapa,sijui siku hizi wanaitwa RAS .Cheo kipo ila lilibadilika jina tu.Ukurugenzi wa Mkoa ndio cheo gani mkuu?
Sijui ukute alipokuwa kamishina aliwashugulikia madealer wa rizimoko.sidhani kama ni sawa , unamtoa mtu kutoka national security council ,mpaka kurudi chini kabisa district level
Mara nyingi watu wa sampuli hizi wakikosea wanatupwq ubalozini wakatulie mpaka wastaafu
Mbona wale Waalim wawili wa CWT waliteuliwa Ukuu wa Wilaya na wakagoma......Wewd ndio ni unamawazo hayo lakini kabla ya mtu kuteuliwa huwa anajulishwa kwanza na kuna makaratasi anasaini kukubali uteuzi, vivo hivyo kwa anaetenguliwa taarifa anapewa hata kabla haijawa public.
Yap nilimaanisha hivyo.Labda alitaka kumaanisha RAS, maana kiprotokali huyu ndiye mtendaji mkuu/ accounting officer wa Mkoa
Nani akufanyie mbinu mjinga kama wewe. Wewe unadhani unaweza kumfanya nini rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hali yako hapo ulipo?Hii mbinu haiwezi kuhamisha mjadala uliopo, ni mbinu ya kijinga..., tunataka vipengele vya mkataba vya kuiuza Tanganyika virekebishwe
I knew you might meant that, mambo ni mengi muda mchache 😅Yap nilimaanisha hivyo.