Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

Anaitwa Mariam Mwakabungu ni mke na mama wa watoto wawili, sasa sijaelewa lengo lako la kupingana nae maana ameeleza kila kitu kwamba alienda pale akaelezwa situation za watoto wale na akaomba awe anasaidia kuwakuza akakubariwa na uongozi wa hospital nahisi hivyo, nini shida mkuu wangekua hawamtambui si wangesema hawamtambui?
✍️
Kwa hiyo hana kazi? Anawakumbatia kuanzia saa ngapi hadi saangapi? Ni muda gani ana mkumbatia me wake?
Walitumia vigezo gani kumkubalia?
Ndio shughuli anayoifanya tuu?
 
Mkuu ,Ebu fikiria from no where ktk mazingira uliyopo ,uende hospital uwaambie unataka kuhudumia wagonjwa ,then wakuruhusu!

It's impossible
Mboni ameelezea kila kitu openly kabisa kasema alikua hana kazi kwa wakati huo basi akaomba ajitolee kuwahudumia wale watoto akakubaliwa, kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Au na wewe unahitaji kwenda kujitolea? Sema
✍️
 
Mkuu ,Ebu fikiria from no where ktk mazingira uliyopo ,uende hospital uwaambie unataka kuhudumia wagonjwa ,then wakuruhusu!

It's impossible
Kumbe wewe hamnazo, kwa taarifa yako wapo watu wengi sana huenda hospital na kuhudumia wagonjwa wale wasiokua na ndugu au waliotelekezwa na ndugu zao, wanafika pale hospital asubuhi sana, wanawaogesha, wanawapa chakula, wanawasaidia kupata dawa n.k, wanapewa kibali na hospital husika....
Unajua tu kucheza game na kupiga soga, saa ngapi utaijua Dunia inavyoenda
 
Kwa hiyo hana kazi? Anawakumbatia kuanzia saa ngapi hadi saangapi? Ni muda gani ana mkumbatia me wake?
Walitumia vigezo gani kumkubalia?
Ndio shughuli anayoifanya tuu?
Vigezo gani hilo ni suala la hospital sio suala la kuniuliza Mimi Ila wewe jua alienda kujitolea kuwahudumia wale watoto akakubariwa, au haujui maana ya kujitolea? maana yake unafanya kazi Ila hulipwi hata 100 nyeusi
✍️
 
Kuna mtu wa Afya nimeongea nae.. nikamuuluza kwani sikuna vyumba maalum na huduma za hao watoto njiti.. akasemA.. " Joto la Binadamu kama anavyofanya huyo dada ni la Muhimu sana kwa hao watoto njiti kwa masaa 24 baada ya kuzaliwa na hakuna Mbadala.." hayo ni maajabu ya Mungu.. umuhimu wa joto la binadamu kwa mtoto mdogo..
 
Mboni ameelezea kila kitu openly kabisa kasema alikua hana kazi kwa wakati huo basi akaomba ajitolee kuwahudumia wale watoto akakubaliwa, kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Au na wewe unahitaji kwenda kujitolea? Sema
[emoji3578]
Hawajawahi hata kuwaona watoto njiti wanajua nini hao, hao watoto kama hawapati joto hawakui, ila wakiwekwa vifuani skin to skin ndani ya siku 2 tu wanaongezeka uzito... joto la asili ni zuri na wanakua kwa haraka.
 
Samahani mkuu hao watoto njiti mama yao yuko wapi?
 
Hawajawahi hata kuwaona watoto njiti wanajua nini hao, hao watoto kama hawapati joto hawakui, ila wakiwekwa vifuani skin to skin ndani ya siku 2 tu wanaongezeka uzito... joto la asili ni zuri na wanakua kwa haraka.
Na huo ndio ukweli mkuu joto la binadamu lina maajabu yake yaan pamoja na zile mashine za mzungu Ila binadamu bado anahitajika
✍️
 
Rais katoa hela mfukoni au kwenye bajeti gani ?

Tunataka kuendesha mambo kitaasisi, sio kwa huruma huruma ya Rais.
Si afadhali hata mama yeye kidogo unaweza kusema Ametoa kwenye mshahara wake mbona hatukuweza kuhoji zile za Mwendazake alizokuwa anajaza kwenye magunia na magari Kutembea nazo na kutafutia sifa mama ni mbahili kwelikweli ukisikia katoa ndio kama hivyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom