Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hana kazi? Anawakumbatia kuanzia saa ngapi hadi saangapi? Ni muda gani ana mkumbatia me wake?Anaitwa Mariam Mwakabungu ni mke na mama wa watoto wawili, sasa sijaelewa lengo lako la kupingana nae maana ameeleza kila kitu kwamba alienda pale akaelezwa situation za watoto wale na akaomba awe anasaidia kuwakuza akakubariwa na uongozi wa hospital nahisi hivyo, nini shida mkuu wangekua hawamtambui si wangesema hawamtambui?
✍️
Great questionsKwa hiyo hana kazi? Anawakumbatia kuanzia saa ngapi hadi saangapi? Ni muda gani ana mkumbatia me wake?
Walitumia vigezo gani kumkubalia?
Ndio shughuli anayoifanya tuu?
Mboni ameelezea kila kitu openly kabisa kasema alikua hana kazi kwa wakati huo basi akaomba ajitolee kuwahudumia wale watoto akakubaliwa, kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Au na wewe unahitaji kwenda kujitolea? SemaMkuu ,Ebu fikiria from no where ktk mazingira uliyopo ,uende hospital uwaambie unataka kuhudumia wagonjwa ,then wakuruhusu!
It's impossible
Kumbe wewe hamnazo, kwa taarifa yako wapo watu wengi sana huenda hospital na kuhudumia wagonjwa wale wasiokua na ndugu au waliotelekezwa na ndugu zao, wanafika pale hospital asubuhi sana, wanawaogesha, wanawapa chakula, wanawasaidia kupata dawa n.k, wanapewa kibali na hospital husika....Mkuu ,Ebu fikiria from no where ktk mazingira uliyopo ,uende hospital uwaambie unataka kuhudumia wagonjwa ,then wakuruhusu!
It's impossible
Vigezo gani hilo ni suala la hospital sio suala la kuniuliza Mimi Ila wewe jua alienda kujitolea kuwahudumia wale watoto akakubariwa, au haujui maana ya kujitolea? maana yake unafanya kazi Ila hulipwi hata 100 nyeusiKwa hiyo hana kazi? Anawakumbatia kuanzia saa ngapi hadi saangapi? Ni muda gani ana mkumbatia me wake?
Walitumia vigezo gani kumkubalia?
Ndio shughuli anayoifanya tuu?
Hawajawahi hata kuwaona watoto njiti wanajua nini hao, hao watoto kama hawapati joto hawakui, ila wakiwekwa vifuani skin to skin ndani ya siku 2 tu wanaongezeka uzito... joto la asili ni zuri na wanakua kwa haraka.Mboni ameelezea kila kitu openly kabisa kasema alikua hana kazi kwa wakati huo basi akaomba ajitolee kuwahudumia wale watoto akakubaliwa, kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Au na wewe unahitaji kwenda kujitolea? Sema
[emoji3578]
Samahani mkuu hao watoto njiti mama yao yuko wapi?Mboni ameelezea kila kitu openly kabisa kasema alikua hana kazi kwa wakati huo basi akaomba ajitolee kuwahudumia wale watoto akakubaliwa, kwani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Au na wewe unahitaji kwenda kujitolea? Sema
✍️
Na huo ndio ukweli mkuu joto la binadamu lina maajabu yake yaan pamoja na zile mashine za mzungu Ila binadamu bado anahitajikaHawajawahi hata kuwaona watoto njiti wanajua nini hao, hao watoto kama hawapati joto hawakui, ila wakiwekwa vifuani skin to skin ndani ya siku 2 tu wanaongezeka uzito... joto la asili ni zuri na wanakua kwa haraka.
Alisema wengine wazazi wao wanakua wamefariki au lugha nyepesi hawana wazazi kwani haujamsikiliza alipokua anasimulia?Samahani mkuu hao watoto njiti mama yao yuko wapi?
Kuna watoto waliofiwa na mama zao na wengine wametelekezwa na mama zao, ndio hao aliojitolea kuwasaidia.Samahani mkuu hao watoto njiti mama yao yuko wapi?
Si afadhali hata mama yeye kidogo unaweza kusema Ametoa kwenye mshahara wake mbona hatukuweza kuhoji zile za Mwendazake alizokuwa anajaza kwenye magunia na magari Kutembea nazo na kutafutia sifa mama ni mbahili kwelikweli ukisikia katoa ndio kama hivyoRais katoa hela mfukoni au kwenye bajeti gani ?
Tunataka kuendesha mambo kitaasisi, sio kwa huruma huruma ya Rais.
Naona CCM wamejimilikisha Hazina , wanagawa pesa tu