huyi shaka ndo nani?

Watanzania tuwe serious basi , ni lini tutaacha ujinga aiseee
Wanajioa tu madaraka wasiyonayo. Msemaji wa chama siyo mtu mkubwa.... Wanajitutumua tu kwa vile chama kimeshika Utamu. Msemaji wa serikali Msigwa ana madaraka makubwa kuliko huyo Shaka wenu.
 
So watajenga hospital mpya au, mbona maelezo mafupi sana, Bil 600 alafu maelezo kiduchu hivyo
 
Ni lini basi Hospital zetu za rufaa zitakuwa na vyumba vya wagonjwa badala ya kuwaanika kama wako bwaloni.?
Tutasema pesa zimetolewa je uangalizi wa zinafanya Nini na vipi ukoje??
 
Shaka ni waziri au nani na anatoa matamko kama kiongozi wa nchi au!ama kweli nchi imeingiliwa
 
Ujenzi upanuzi kwani Muhimbili inajengwa sasa!
 
Uandishi mbovu wa kipropaganda, Kwanza Rais Samia haitaji propaganda maana sehemu kubwa anatenda kile anachokiongea japo kuna baadhi ya watendaji wake ndio wanamuangusha! Habari hii ingeleta maana zaidi ungeandika.................. "

Serikali yatoa bilion 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbil na sio Rais Samia atoa TZS Bilioni 600, Ikumbukwe hizi fedha ni mali ya wananchi na Rais ni mwangalizi na mwidhinishaji wa matumizi! Nimeshangaa hata jana kuna chombo cha habari kimetoa taarifa kikisema "Shaka ahimiza utoaji huduma Muhimbili badala ya kuandika CCM yahimiza huduma Muhimbili kwakua Shaka hawezi kwenda Muhimbili kuongea aliyoyaongea bila kutumwa na CCM!"​

"
 
Hii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??

Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Upungufu WA akili Kwa waTanzania ni threat to national security
 
Khaaa! Ndugu wapenzi kabla hatujaenda mbali nataka nijuzwe Mloganzila inatumikaje kwa sasa? Na Kama imetelekezwa kwa Nini? Mloganzila tulikopeshwa au tulipewa msaada,si mlisema mloga ni hosptari yenye miundo mbinu Bora kabisa kusini mwa jangwa la Sahara na kuwa Ina standard za hospitali za ulaya?
Dah, my dear country!!! Hakika unazama Basi wanao tukitizama tu hatuna la kufanya.
 
CCM inajisifia kodi za wananchi.

Bilioni 600 Samia anazitoa wapi kama sio wananchi ?

Utter nonsense.
 
Huu ndio mwanzo wa kusema Muhimbili mali ya CCM(CCM Muhimbili Hospital), taarifa hii inatakiwa itolewe na serikali kupitia waziri wa afya.
 
1. Bilionea Mo.

2. Bilionea Bakharesa.

3. Bilionea Samia.
 
Kiswahili kigumu, ujenzi mpya wa hospitali ya Taifa Muhimbili kwa shilingi 600 bilioni?!

14 May 2022



Year 2018

Faustine Ndugulile
@DocFaustine

Today I visited Muhimbili Orthopedic Institute (MOI) to inspect installation of new CT Scan, MRI and two X ray machines worth Tsh 5.6 Billion. Very impressed with progress. Also visited physiotherapy and prosthetics dept. Our aim to make MOI a centre of excellent #Tunatekeleza


Bajeti 2016 / 2017


2015

 
Amezuru hospitali ya muhimbili na kutoa maelekezo mbalimbali yeye Kama nani kwenye serikali ?🤔 Je yeye ni waziri wa afya, naibu waziri afya, mbunge , katibu wa wizara ya afya, ana cheo gani chochote katika serikali?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…