Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Uhuru umezidi nchi hii...Shaka nae anatoa matamko😂Amezuru hospitali ya muhimbili na kutoa maelekezo mbalimbali yeye Kama nani kwenye serikali ?🤔 Je yeye ni waziri wa afya, naibu waziri afya, mbunge , katibu wa wizara ya afya, ana cheo gani chochote katika serikali?🤔
Watz tumekuwa wajinga sanaHii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??
Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Yaani sisi watu weusi Ni Kama vile tumerogwa tumekuwa mandondocha fulani hivi tuna serikali za kipumbavu Sana😡 mtu katibu mwenezi wa chama anakaa na kutoa maelekezo Kama vile yupo ndani ya serikali hii nchi ni genge la walowezi 😡Uhuru umezidi nchi hii...Shaka nae anatoa matamko😂
Siuseme tu shida iko wapi?Tobaaa!!!!???
Hapo Lumumba mmejazana vilaza kweli na hapa White House.
DaahHii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.
Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
Elewa mfumo wa Siasa unavyofanya kazi, naamini hutasumbuka. Chama tawala ni msimamizi wa Serikali, Serikali haitoi maagizo kwa Chama ila Chama ndiyo kinatoa maagizo kwa Serikali. Chama ndiyo kina dhamana ya kuongoza nchi maana kiliomba ridhaa kwa wananchi.Amezuru hospitali ya muhimbili na kutoa maelekezo mbalimbali yeye Kama nani kwenye serikali ?🤔 Je yeye ni waziri wa afya, naibu waziri afya, mbunge , katibu wa wizara ya afya, ana cheo gani chochote katika serikali?🤔
Elewa mfumo wa Siasa unavyofanya kazi, naamini hutasumbuka. Chama tawala ni msimamizi wa Serikali, Serikali haitoi maagizo kwa Chama ila Chama ndiyo kinatoa maagizo kwa Serikali. Chama ndiyo kina dhamana ya kuongoza nchi maana kiliomba ridhaa kwa wananchi.Yaani sisi watu weusi Ni Kama vile tumerogwa tumekuwa mandondocha fulani hivi tuna serikali za kipumbavu Sana😡 mtu katibu mwenezi wa chama anakaa na kutoa maelekezo Kama vile yupo ndani ya serikali hii nchi ni genge la walowezi 😡
Elewa mfumo wa Siasa unavyofanya kazi, naamini hutasumbuka. Chama tawala ni msimamizi wa Serikali, Serikali haitoi maagizo kwa Chama ila Chama ndiyo kinatoa maagizo kwa Serikali. Chama ndiyo kina dhamana ya kuongoza nchi maana kiliomba ridhaa kwa wananchi.Uhuru umezidi nchi hii...Shaka nae anatoa matamko😂
hahahahaaaahuyi shaka ndo nani?
Watanzania tuwe serious basi , ni lini tutaacha ujinga aiseee
hahahahaaaa . . . . . eti ardhi universityHii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.
Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
Ilikuwa shilingi ngapi ?Muulize Mbowe ule mzigo aliopewa na mama Ikulu uko wapi?
kuliko nyie ?wababaishaji sana nyie jamaa,
Hiyo taasis iko Tanzania pekee ? Maana ni Tanzania tu utasikia Raisi katoa Raisi katoa hiki ,yaani inakera kama hamjui nchi zingine ni.serikali japo ya chama .Rais ,Rais ,Rais Rais only in TanzaniaRais ni taasisi mjomba,
Hata wewe unaruhusiwa kwenda hapo hospitali. Hivi wewe hujui huyo ni katibu mwenezi wa CCM, ambacho kwa sasa ndicho kimeshika dola. Hata CHADEMA kikishika dola utawaona Benson Kigaila wakienda Muhimbili. Acheni double standard.Hii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??
Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Mjinga ni wewe tu humjui mwenezihuyi shaka ndo nani?
Watanzania tuwe serious basi , ni lini tutaacha ujinga aiseee
Shaka ni Mkubwa sanaHii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??
Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Katibu wa chama tawala kufuatilia chama tawalaanafanya kama nani?
Amezitoa mfukoni kwake au ni kodi zetu?Daah TZS 600BL,Hongera sana Rais Samia, huyu Mama to me am speechless, aisee