Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Veronica France ni Abdoulquarim Malisa mfuatilie mandishi yake utajua
Nakubaliana na wewe mkuu, abdoulquarim ni miongoni mwa hilo kundi la veronica france. Wako wengi wanaopost kwenye hiyo ID,siyo mtu mmoja, wengine ni musiba,makonda na Sabaya alikuwemo.
 
Unampangi
Unampangia raisi kuhusu uteuzi?
Unajua teuzi zimeisha nchi hii wewe kama nani?
Na siku raisi akimteua wewe utajificha wapi?
 
Huyu mfungwa mtarajiwa alishafutwa kwenye ulimwengu wa kiroho ajiandae kuvuna aliyopanda
 
Japo uwezo wao wa kufikiri ni mdogo
 
Jamaa wewe kama ni mwanaume basi una mapungufu makubwa sana acha umbea bro kwani ulitaka afanye nini na ulitaka akisimamishwa afanyeje
 
Nadhani hapa magu2016 amekuelewa. Kama bado ni mbishi, basi huo ni ubishi wa kuzaliwa.
 
Hakuna visasi wala kisasi it is walking on a tarmac road

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Leo nimemuona Makonda akiwa Chato kutembelea Kaburi la Magufuli.

Katika ziara hiyo, Makonda eti alisimamishwa na wananchi wa Chato na kuzungumza nao. Na katika maigizo hayo,Makonda amelia sana.
Kuna jamaa alifuga farasi na akatokea kumpenda sana farasi wake. Katika baadhi ya nyanja fulani kama mashindano ya mbio farasi huyo alikuwa na uwezo wa kukimbia sana na kushinda. Watu waliofanya kamari juu ya farasi huyu katika mashindano ya mbio za farasi wakapata fedha kwa wingi. Tatizo ni kwamba farasi huyu alikuwa na tabia ya kupiga na hata kuua farasi wenzake, jambo ambalo wengi hawakufulifurahia. Na kila watu walipomlalamikia mwenye farasi, yeye alikasirika na kuwafanyia kitu kibaya.

Ilifika siku farasi huyu alizana kuua binadamu, lakini kwa ukali wa mwenye farasi watu hawakuweza kufanya chochote.

Ikatokea farasi huyu alishikwa na ugonjwa na kufa. Mwenye farasi akapatwa na majonzi makubwa. Siku moja alienda kutembelea sehemu alipomzika farasi wake, na akaanza kulia. Kikatokea kikundi cha watu ambao walifaidika na ushindi wa wa mbio wa yule farasi akiwa hai wakamhurumia sana walipomwona mwenye farasi akimlilia farasi kwa uchungu. Hata hivyo, jambo hilo likawa maudhi makubwa kwa wale ambao ndugu zao waliuwawa na huyo farasi.
 
Hivi huyu makonda si alikuwa ni rafiki wa mama zamani hizo. Sasa hivi imekuja kuwaje tena jamani?

Ila mimi natamani mama aendele kutenda haki akuna kuangalia urafiki wala utoto. Yafukuliwe mabaya yote ya makonda ili vijana tujifunze kuwa tukipewa nafasi ya utumishi tutulize akili na kuwatumikia wananchi.
 
Jamaa wewe kama ni mwanaume basi una mapungufu makubwa sana acha umbea bro kwani ulitaka afanye nini na ulitaka akisimamishwa afanyeje
Mimi nipo hapa Chato. Ninajua kinachoendelea. Hayo aliyofanya ni maigizo na watu walioandaliwa.
Hapa Chato hakuna mtu anahabari na makonda.
 
Kuweka rekodi sawa, Makonda kama ilivyo kwa Sabaya, hana kitu chochote kile cha kujibu kwa yoyote yule hapa Tanzania na duniani.
Swali: Kama ni kweli kwanini basi Ole Sabaya anashikiliwa na polisi?

Jibu: Ni utaratibu tu wa kawaida kwa mtuhumiwa yoyote yule kushikiliwa mahabusu, na suala la muda tu kijana huyu mashtaka yote dhidi yake yatadondoshwa na atarudi kwenye maisha yake ya ufugaji kwenye moja ya vijiji vya kimasai.

Kiufupi hamna kijana yoyote yule kiongozi ambaye aliyefanya kazi nzuri ya uhakika ya maendeleo hapa nchini kupelekea CCM kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa 2020 ikatokea akapendwa na Chadema. Kwenye mkondo huu wapo vijana kama PolePole, Chalamila, Sabaya, Makonda, Gambo nk.

Chadema punguzeni chuki, ikulu huwa watu hawaendi kizembe kiasi hicho.
 
Ushindi kwa gharama za kuua au?

Angemuua Baba au Mama yako ili CCM ishinde ungepata akili

Kuna watu wapumbavu sana Yeye yakimkuta ndio anakuja hapa JF kuomba msaada oooh NSSF hawatoi pesa mara Mahakama inaonea

Muda huu umeshiba makande na Tumbaku Unaanza kuropoka ropoka hapa kama Panya aliyebanwa na Paka

Ushindi wa CCM unahusiana vipi na kupora watu pesa

Huko Songea na Tanga si CCM inashinda kila siku tangu uhuru

Mbona hatukusikia kawawa ameteka watu au Nchimbi anatumia silaha kupora Mali

Yeye kilichomtuma kupora Mali na kutembea na mabunduki ni CCM?

Acha kuchafua chama wewe, CCM imejengwa kwa miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…