Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Kifo kisingekuwepo nafikiri kuna watu maisha yao yangekuwa kama wako peponi miaka yote na wengine wangekuwa ni wakupigika miaka yote
 
Hata akikimbia hajua jinsi ya kutafuta kwa jasho maana hizo mali aliiba serikalini
 
Wasi wasi wake wa nini!hizo mali na fedha si awaeleze tu amezipataje?
Atoe mtiririko tu alivyofanya mabiashara hadi kutengeneza hela

Ova
 
Alichukua hadi magari kutoka kwa wauza madawa
 
Hii
Hii ndio bahati yake
 
Sasa atakimbilia wapi ambapo hataweza kufikiwa? Ye arelax tu wakati anasubiria consequences za action zake
Kuna mahali anaweza kukimbilia asifikiwe. Nako ni kaburini.

Nashauri ajinyonge. Au akajitupe baharini "koko bichi".
 
Mpaka leo hua nakumbuka siku alipokua akifanya ziara maeneo mbalimbali hapa Dar,kuna mama mmoja alikua sijui ni mwenyekiti wa serikali za mtaa au msaidizi kaitwa mbele atoe maelezo kuhusu ishu ambayo aliifanya mwenzie na yeye hakuwepo ofisini,katika kujielezea huyu mjivuni hakuelewa akatamka kauli ambayo nadhani huyu mama mpaka leo hajaisahau,alimwambia "HAWA NDO VICHAA TUNAOWATAFUTA".
 
Tumefunga milango duniani na mbinguni hana pakwenda zaidi ya Dar, Koromije na shambani kwake Manyara tu....
 
Wewe Utamponza Makonda Huyo...narudia Tena Utamponza Kama Clouds walivyomponza Sabaya wako Na yuko Jela saiv....Sio sera Ya CCM kuvamia Mahotel ya watu na Maslaha makubwa...sio sera ya chama Hiki kizuri Kuua watu..hiki chama ni nyie mmekichafua...Mmeetesa watu mnakipaka CCM matope na sio Nyie tu..Mpo Wengi hata kwenye Utumishi wa Umma mnasingizia watu wanaowazidi uwezo wa kazi Mnawaita Chadema..Mnawatesa mko wengi tulieni tulieni...kaeni kwa Kutulia Mnyooshwe saiv....


Makonda ana tuhuma Kibao achunguzwe akamatwe.
 
ANAFAHAMIANA AU ANAJUANA?
CCM wengi sana pamoja na kuishi na Maza ndani ya chama ila hawamjui vizuri - watashuhudia ni suala la muda tu...mmoja mmoja ananyakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…