Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Ditram Nchimbi wa Yanga SC ( Tanzania ) akijifananisha na mpaka akimuiga kila Kitu ( hasa Kiuchezaji ) Mshambuliaji Robert Lewandoski wa Bayern Munich ( Germany ) ni tatizo Kwako au kuna tatizo? Acha Kukariri na kuwa na Kiherehere!!
 
Sabaya alikuwa anawaambia wafanyabiashara anachokifanya wakiamua wakiite "makonda style" hawa vijana walikuwa wamejipanga, mda wao umefika
Nikisikia wako Segerea Jela nitafurahia.
 
Mother Theresa hawezi kumchunguza makonda kwa tuhuma zake, maan ni kipenzi chake tangu akiwa bunge la katiba.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
mmmh
 
makonda kafanyaje, hebu to madhambi yake hata ma 2 tu ya kushtakiwa
 
achululie hatua mafisadi na wauza unga sio huu upuuzi
 
Kakae na mavi yako nyumbani-Shujaa.
 
Mother Theresa hawezi kumchunguza makonda kwa tuhuma zake, maan ni kipenzi chake tangu akiwa bunge la katiba.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Upendo wao ulimalizika rasmi mwaka 2018 pale ilipogundulika Kijana anamfitinisha Mama kwa Babaake ( sasa Hayati ) ili aonekane mbaya na Mama ang'olewe Umakamu awekwe Mtu wake ( wao )
 
makonda kafanyaje, hebu to madhambi yake hata ma 2 tu ya kushtakiwa
Alichomfanyia Yusuf Manji pale Nyumbani Kwake Sea View na Kuchukua Kimabavu kilichokuwa ndani ya Safe na Kuondoka nacho mazima ni sehemu tosha ya moja ya Tuhuma zake bila kusahau na waliokuwa Wakiogelea Baharini ( Coco Beach na Kawe Beach ) kwa msaada wa Mawe mazito na Kamba ngumu bila ya Kupumua kama Navy.
 
Huko mnakotaka kuelekea siyo kwenyewe na taifa hili litabomoka. Mama aangalie sana.

Ili kutibu majeraha yote mama afuate ushauri wa Lissu. Aunde tume ya maridhiano, watu waombane misamaha, wasameheane, wenye kulipwa fidia walipwe halafu tusonge mbele. Haya mambo ya visasi hayataliacha salama taifa hili.
 
Sijui unazungumzia sheria za wapi, huwezi kuchunguzwa under house arrest not in our jurisdiction kwa sheria za Tz haipo hiyo, uchunguzi waweza fanyika under police custody....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…