Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
 
Mwendazake alipandikiza propaganda za hovyo kwa hawa uvccm hadi mrudi kwenye akili yenu itachukua muda kama vile jambo lolote baya linatoka kwa wazungu wakat alikuwa mhudumu wa serikali toka akiwa mbunge wazir had raisi hamna hata siku moja kagomea jambo la hovyo akiwa mbunge wala waziri alikuwa anagonga meza tu
 
Usipotezee mada mkuu
 
 
Mambo mengine ya kutumia kama T.P ndio matatizo yake,hao wakubwa wenyewe manashindwa Mbowe sasa kuwatuma dagaa wataweza.
Historia ya Baba yake Mbowe na Nyerere pekee inaweza kukupa picha kwamba hao ni watu wa namna gani,haijalishi una cheo au wadhifa kiasi gani sio kila MTU duniani utamuwez.Magufuli kwa Mbowe alienda kichwa kichwa sana pasipo akili.
 
Sabaya ana tuhuma za kihalifu na alikuwa anakingiwa kifua na mpenda uhalifu mkuu. Sabaya aliongoza genge la kihalifu kwenda Dodoma wakamjeruhi Mbowe.
 
Sabaya ana tuhuma za kihalifu na alikuwa anakingiwa kifua na mpenda uhalifu mkuu. Sabaya aliongoza genge la kihalifu kwenda Dodoma wakamjeruhi Mbowe.
Ndio tuhuma zenu za studio hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…