jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....