Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Rais Samia ni msikivu ila kuna watu wanamwingiza chaka
 
Rais ana nafasi ZAIDI ya 200 za kuteua kwa kada mbalimbali kwa mtazamo wako unaweza ukawajua hawa watu wote inside out?? sio kukurupuka na kusema kirahisi tu eti "anakurupuka kwenye teuzi"
wanahisi urais ni kama kuongoza familia mkuu.....hawajui team ya rais ndio inaomba taarifa kutoka kwenye mapandikizi ya usalama waliopo maofficin, then hao wanawapa jina team ya mama mwisho mama anapewa jina, sasa hao wakikosea mama ataonekana amekosea.
 
Uko sahihi nashangaa watu kushupalia ujinga, mama noticed mistakes na aka change haraka yet watu wanakomaa nalo, na hamna binadamu asiyeingia chaka
 
Daah jamaa hana bahati
Jamaa alishaanza kuagiza suti ya uapisho

Usiku wa kuamkia Leo kapokea Sana simu za pongezi

Ashapanga aliingiia ofisi mademu zake wote waliomtosa watamkoma.


Mara paaap kachomolewa hii tunaitta mwexit[emoji1787][emoji1787]
 
Taasisi nyeti hazizidi 30 hapa tz, hizi ana uwezo wa kujifungia ndani na wataalam wake wa karibu akapitia yeye moja baada ya nyingine na kuuliza maswali na atakachobtoka kujua kwa wasaidizi wake kuhusu faili aliloshika na kisha kufanya maamuzi..
 
huna lolote we Dada Yake dk Bashiru ally, chuki tu
 
Ilishawahi kutokea hayati aliteua naibu waziri aliye shindwa kuapa na wiki iliyo fuata akateua mpyaaaa

Yaan disco ni lilelile ila dj tu ndio mpyaa
Mwenda ndivyo alivyokuwa akipenda watu wamnyenyekee ikibidi hata wajinyee wakati wa kuapa

Huyo Waziri alieshindwa kuapa huenda alilowanisha hadi nguo za ndani

Raisi anatakiwa apendwe na kuheshimiwa
 
James mataragio ni mtu wa karibu sana na JK. Hivyo kumrudisha tena mataragio ni yale tuliyoyasema swali kuwa JK= SSH
 
Wa awali namuunga mkono hapo ila mama anaonyesha udhaifu sasa. Atulie, alipelekewa teuzi asikimbilie kisaini ajipe muda kidogo kuzipitia hata wiki..
Matarajio alionewa kwa mijibu WA mahakama
 
James mataragio ni mtu wa karibu sana na JK. Hivyo kumrudisha tena mataragio ni yale tuliyoyasema swali kuwa JK= SSH
Mahakama ilimsafisha, Sasa wewe unataka nini? Tuache kuamua kwa utashi kwakuwa humpendi JK basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…