Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Tulia ligi ishaisha, mechi ni za kukamilisha ratiba tuHawa Yanga si wanatakiwa waende huko Sumbawanga? Au serikali (na siyo TFF) imeamua ligi iendelee kusimama?
Anatafuta penye mafanikio anajipenyeza kijasusiHUYU mama mbona kama amepotea njia...
Hiyo inamaanisha nini? Kuna timu inabidi zishuke daraja na hazijajulikana bado.Tulia ligi ishaisha, mechi ni za kukamilisha ratiba tu
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa, kwamba uhusiano wa kukosekana kwa maji na kuwapongeza Yanga ukoje?HUYU mama mbona kama amepotea njia...
Kweli Kolorobo ni mbumbumbu fc, sasa Shilikisho ndio nini? hata kiswahili tu ni changamoto.
Kweli Kolorobo ni mbumbumbu fc, sasa Shilikisho ndio nini? hata kiswahili tu ni changamoto.
Wakati timu yako inashinda mechi zake na kupewa pesa za mama mbona haukuhojiHivi hafla kama hizo zinaandaliwa kwa pesa binafsi au ya umma! Maana ni upotevu wa pesa bure wakati nchi yetu ina watu .