Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

HUYU mama mbona kama amepotea njia.

HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .

Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.

Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.

ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Ww ndo fala hujui kuwa Nchi zaidi ya 50 duniani na watu zaidi ya milioni 100 waliokua wanafuatilia ule mpira wameijua Tanzania kupitia Yanga, huna huelewa na Marketing, vyombo vyote vya habari vikubwa wameitaja Yanga chok@@ ww
 
Simba msimu ujao CAF championship pale ikulu ya chamwino dodoma
 
Screenshot_20230604-154817.jpg
 
Ofisi ya Rais haina timu..
Waziri mkuu anajulikana ni Simba lakini kafanya uhamasishaji mkubwa Sana ili Yanga ashinde
 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.

@SuluhuSamia

ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.

Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2645787
Rais wa nchi yetu anapaswa kuwa "Mwananchi" yaani taasisi nyeti ya urais iongozwe na mkia? Ebu acha masikhara bana, yaani kolo kabisa lipate ridhaa ya kuwa raia namba moja hapa nchini!?
 
waacheni japo wwpate faraja ya ikulu..maana wana maumivu makubwa
 
HUYU mama mbona kama amepotea njia.

HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .

Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.

Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.

ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Alafu juzi nasikia wepokea b2 za msaada eti kinisuru kaya masikini.
 
Siku hizi mashabiki wao wengi wamekuwa kama mashangingi ya mjini. Kila timu inayocheza na Yanga, basi lazima wajipendekeze kwao.

Eti sasa hivi wametoka kwa Waarabu, wamehamia kwa Azam waliotoka kuwafunga na kuwatoa kwenye hatua ya nusu fainali!!
Taratibu Mzee Baba wasije wakakulia njama hawa Makolokolo kwa kipigo hiki kwenye mishono yao [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
HUYU mama mbona kama amepotea njia.

HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .

Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.

Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.

ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Popote anapoweza kupata umaarufu anajipenyeza.
 
HUYU mama mbona kama amepotea njia.

HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .

Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.

Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.

ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Kwani vipi wakati ule wa live event,kila neno kila hatua kila ziara nazo ulishazisahau au wivu kwa mwanchi 🤔.Acha tufurahi bwana😠
 
Hivi hafla kama hizo zinaandaliwa kwa pesa binafsi au ya umma! Maana ni upotevu wa pesa bure wakati nchi yetu ina watu wanashida nyingi wengine wanashindwa hata kujilipia matibabu ya laki moja tu wanapoteza maisha lakini anatokea mtu mmoja kwa mapenzi yake binafsi anaamua kutapanya pesa ovyo ili kufurahisha vyura.
Wananchi wenyewe tunazo pesa yetu,usitake kutusimanga,tunayo kama 7b,mfukoni hivi sasa,vipi nyie kolo😂
 
Back
Top Bottom