Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

Yap,mama anajifariji maskin[emoji1787]ni sawa na tajiri anakuwa na toto mbumbumbu darasan,analipa kila kitu Ila daily linakuwa la mwisho,so njia inayobak kujifariji na Hilo, toto zuzu ni kutumia fedha[emoji848][emoji474]
Kolowizards........limepovuka × 2

Wananchiiii.........wanatakata × 2

In Dogo Janja's song chorus [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.

@SuluhuSamia

ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili.

Hafla hiyo ya kuipongeza klabu ya Yanga itafanyika Juni 5, 2023 Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2645787
Kwani dodoma ikulu haina mahali pa kufanya hiyo tafrija?l?
 
HUYU mama mbona kama amepotea njia.

HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .

Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.

Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.

ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Vipi, Wabunge wa maeneo hayo ni marehemu????
 
Wananchi tunahangaika na ugumu wa maisha, huku wengine wanapongezana Ikulu. Ama kweli hatufanani.
 
Wananchi tunahangaika na ugumu wa maisha, huku wengine wanapongezana Ikulu. Ama kweli hatufanani.
Huo ugumu wa maisha unaletwa na ujinga wako,unataka mama akuletee cash?mnashinda kujiselfie badala ya kufanya kaz halafu mnalalamika
 
Basi misukule ya Mudi Mhindi itanuna kweli na kutukana hovyo! Kisa wivu tu. Maana kila mwaka timu yao inaishia robo fainali. Hata ibebwe vipi, haibebeki.
Hata akitaka kuwapeleka Bungeni, wala sio big deal, kikubwa kombe limebaki uarabuni.
Haya mengine mtajuana utopoloo na mama yenu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap,mama anajifariji maskin[emoji1787]ni sawa na tajiri anakuwa na toto mbumbumbu darasan,analipa kila kitu Ila daily linakuwa la mwisho,so njia inayobak kujifariji na Hilo, toto zuzu ni kutumia fedha[emoji848][emoji474]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HUYU mama mbona kama amepotea njia.

HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .

Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.

Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.

ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.
Acha wivu
 
Back
Top Bottom