Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka simba waende ikulu kwa jambo labda?Hiyo inamaanisha nini? Kuna timu inabidi zishuke daraja na hazijajulikana bado. Huu ni uswahili tunaoupigia kelele kila siku. Huko CAF mnalalamika waarabu kupendelewa ila hayo mambo yanafanyika hata hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi simba hajawahi kutupa japo Toyota DCM litupeleke beach, sawa bwana!
Wao kazi yao majungu tu na kuisema Young African vibaya[emoji23]Ni Jambo jema kuwapongeza young Africans
Wamefika final
Wametupa heshima TZ
Kolo hawatafika ikulu
Hawajavaa medali hata ya mapinduzi
Kolo washapata ubingwa wa robo
Kama yale ya kujenga ukuta wa Merelani ukiamini unazuia utoroshaji wa Madini huku umesahau kuna madini yanachimbwa Underground?Rais kilaza huwa na hulka ya kudandia mambo kutaka cheap political mileage.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakitoka hapo shuguli bungeni
Ova
Hapana mkuu.........hata jeshini mwajeshi akifanya vizuri.....anaye pewa sifa ni kiongozii wake[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Diarra tu, wewe kocha wa makipa tutakutafutia kutoka Mali [emoji12]
Ujinga huuBi mkola anatapanya pesa za wajinga kizembe sana, nafikili anafanya haya kumfurahisha sponsor wake wa msoga ambae ni utopolo lialia na ni njia ya kufanya lobbying kwa gsm ili aendelee kukwepa kodi vizuri.
Ujinga huuBi mkola anatapanya pesa za wajinga kizembe sana, nafikili anafanya haya kumfurahisha sponsor wake wa msoga ambae ni utopolo lialia na ni njia ya kufanya lobbying kwa gsm ili aendelee kukwepa kodi vizuri.
Hivi hafla kama hizo zinaandaliwa kwa pesa binafsi au ya umma! Maana ni upotevu wa pesa bure wakati nchi yetu ina watu wanashida nyingi wengine wanashindwa hata kujilipia matibabu ya laki moja tu wanapoteza maisha lakini anatokea mtu mmoja kwa mapenzi yake binafsi anaamua kutapanya pesa ovyo ili kufurahisha vyura.
Wivu ndiyo uchawi namba 1 Tz!.HUYU mama mbona kama amepotea njia.
HUKO Dodoma km 1 kutoka IKULU eneo lote Lile la mtumba,ihumwa, WATU hawana maji .
Wilaya zote za Dodoma ni shida Bahi, kondoa,kongwa UMASIKINI umetopea.
Miaka sitini ya uhuru WATU hawana maji.
ANAHANGAIKA NA MAMBO YASIYOKUA YA MSINGI.