Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Sidhani kma ameongelea vikundi vile sijui
Chawa wa mama
Watoto wa mama kizimkazi
Au samia gang.
Ameongelea makundi ya viongozi wake. Wengine hawamtaki wengine wabamtaka.
 
Ni wale vichaa kama wewe
mie niite utakavyo hiyo haina shida, uongozi ni jalala, kazi ya kiongozi ni kua mstahimilivu na kuonyesha njia sio kutukana...
hiyo mbaki nayo wenywe....

ila hawa wanainchi wanyonge hawa, ambao hata kibaraka pamoja na wew mnawatongoza wawapatie kura siku za uchaguzi,
hamtaweza kuwabeza na kuwadharau kwa kuwaita kama mnavyo waita halafu eti wawachague ninyi...

thubutu....
hiyo itawezekana labda kwa mabwenyenye sio Tz...
 
Eltwege amepata Pigo leo
 
Tulia kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…