Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Akataze sasa na Mawaziri wake wanaopenda kumsifia kuliko,. wakiongozwa na Jenister Mhagama...
 
Ni uamuzi mzuri wa Raisi kuachana na Machawa kwani hao ndio wanaomdanganya na kumsifia sifia na Raisi anafikiri Nchi mambo ni shwari kumbe huku Mitaani kuna DHIKI ya ajabu.
 
Hapo sawa kazi iendelee!!

Lakini katiba yetu uliyoambiwa uanze kuiandika 2022 umeibagaza kabisa!!
 
Dear Depal umeona machawa wanavyokanwa mmoja wao ni ChoiceVariable
 
Awakane kwa vitendo sio kwa maneno
 
Labda amesoma Uzi huu;

Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto mdogo peremende hakikisha anamshukuru na kumtukuza MUNGU- Rabbon
 
Na wale Samia queen waliozinduliwa juzi ni kina Nani..na hawa mama sijui mkane mwanao ni.l Nani. Na wale walikuwa Ikulu Jana ni kina Nani. Na hao ambao kila shughuli ya Serikali wapo na hawana cheo chochote ni kina Nani?
 
Kwani Chawa wamesema ana Makundi ?!!!!

Hivi ni mimi siku hizi uelewa wangu ndio umpepungua au watu wanachoelezea na kinachoelezewa ni tofauti ?

Sio siri kwamba Awamu hii na ya JPM inaleta / imeleta kushamiri kwa Uchawa
 
Wapi chawa wa mama,wapi Samia Queens,wapi Lucas mwashambwa...........
 
Matokeo mabaya utakayoyapata usilalamike
Ben,
huwez fanya lolote na wala na wala mie siwezi sio wa kulalamika....

wa kulalamika ni wew na hao jamaa zako wengine bana...

na huwezi kuwaita waTanzania majina ya ajabu ajabu na halafu wananchi wakakuacha hivi hivi tu, utashughulika wewe pamoja na wenziwe wenye tabia kama hizo kwenye debe mpaka muache.....
 
Nakupa pole mkuu usilalamike kwa matokeo mabaya
 
Ni yeye mwenyewe aliyesema "mkimsema yeye anao chawa wake ambao hawatakubali".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…