Hata enzi za mwenda zake mlianza hizi kufuru...lakini Mungu ni fundi na kikomo cha mashindano hivyo mimi ni nani nikubishie?Urais raha bana, afu eti wana CCM walitaka eti 2025 awapishe - 🙂🙂🙂
yaani ni hivi 2025 tunaanza upyaaaa - ngoma hadi 2035 mwana CCM hutaki tangulia Burundi.
Mungu ni fundi Moisa !!Hata enzi za mwenda zake mlianza hizi kufuru...lakini Mungu ni fundi na kikomo cha mashindano hivyo mimi ni nani nikubishie?
Ukazichukue basi?[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ndege kuna pesa zangu hapo
Ni "Machadema"! Tena, kuna limoja limeanza kumletea figisu prezidaa wa kule Zenji, kilichompata, kila mtu anajua!Hivi hapo watakaoumia ni ccm au machadema?
Raisi wa ngapi ndugu Phillipo Bukililo !!???Achana na nongwa hizi mkuu Tindo, huyo ni rais wa tano wa JMT na ana haki zote kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.
Swali lakujiuliza ni je nje ya kodi zetu mama Samia angekosa pesa za kwenda kuhiji maka?Kodi zetu zitakoma safari hii
Nipande ndege ungo nimwachie naniUkazichukue basi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata bado hujaipanda
Ana roho nzuri huoni jamaa wanavyoondolewa na kuwapa ardhi watu wa dini ya haki?roho nzuri kwa lipi? kwa kwenda kuswali au? Hata Iddi Amin alipoenda sadi arabia alienda kusali! fafanua roho nzuri kwa lipi kwa mfano!
Malipo mpa ajira ya kuwa Rais mlitaka atumie pesa ipi kufanya mambo!Kodi zetu zitakoma safari hii
Kaichukueni......Kama maswala ya kikazi yameisha si arudishe ndege nyumbani?