Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Hili swala la kutakaswa Kiroho alilofanya ambalo ni la kiibada ni muhimu sana, na Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki! kaenda sehemu takatifu, chonde tisibeze hili maana ndugu zetu waislamu wanaelewa umuhimu wa hili.
Hivi hapo watakaoumia ni ccm au machadema?
Unalipaga Kodi kwanzaπ€£Kodi zetu zitakoma safari hii
Upo sahihi kabisa, nami nimesema kuwa kwa waislamu hii ni nguzo muhimu kati ya zile nguzo tano.Hili swala la kutakaswa Kiroho alilofanya ambalo ni la kiibada ni muhimu sana, na Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki! kaenda sehemu takatifu, chonde tisibeze hili maana ndugu zetu waislamu wanaelewa umuhimu wa hili.
Kumcha Mungu ni kwenda huko? Kwani huko kaenda kwakuwa ni mcha Mungu au kwakuwa halipi nauli yake toka mfukoni?
Kwa hiyo wa huku wanatuzuga tu?Mitaa ya huko ndiko mtume yuko.
Sijui kwa nini Magufuli alinunua ndege? Naona zinarahisisha sana safari watu hatutulii sehemu moja. Mungu hutafutwa hata kabla ya madaraka, unasubiri tozo za watu ndo zikusafirishe kwenda hija!Kongole kwa Mama, Sina takwimu za viongozi wakuu wa nchi wakiwa madarakani wanakwenda Hija.
Madaraka hupumbambaza wengi kujiona miungu watu.
Huwezi kufananisha na Yule shetani wa chattle .Alikuwa anaenda kanisani na bado ananyonga watu.Kumcha Mungu ni kwenda huko? Kwani huko kaenda kwakuwa ni mcha Mungu au kwakuwa halipi nauli yake toka mfukoni?
Huwezi kufananisha na Yule shetani wa chattle .Alikuwa anaenda kanisani na bado ananyonga watu.Kumcha Mungu ni kwenda huko? Kwani huko kaenda kwakuwa ni mcha Mungu au kwakuwa halipi nauli yake toka mfukoni?
AiseeKodi zetu zitakoma safari hii
Mnaropoka tu, alikuwa nani hasa hadi rais akamuue? Mnauana huko kwenye vyama vyenu ili kulinda uenyekiti wa kudumu mnasingzia wengine.Alimua kaka yangu wa damu ,Ben Saanane.
Mwacheni amalize hijaKama maswala ya kikazi yameisha si arudishe ndege nyumbani?
Safari hii hakwenda na Airbus!Kama maswala ya kikazi yameisha si arudishe ndege nyumbani?
Mnapita kwenda wapi?π€Ibada ni muhimu ! Duniani tunapita tu !!
We na Nani?π€Safi sana tunahitaji Rais mcha Mungu kwa kauli na vitendo
Haki za kwenda kuhiji?π€Achana na nongwa hizi mkuu Tindo, huyo ni rais wa tano wa JMT na ana haki zote kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.
Safari za kwenda hijjah zinaleta watalii?π€Hizo safari ni nzuri kwa taifa letu kwanza zinarudisha imani ilio kua imepotea pili tutapata watalii wa kutoka middle East, tutapata wawekezaji wa maana na mikopo isio kua na riba, waarabu ni wazuri kwenye biashara bigup mama nga'risha nyota ya taifa
Fikiri angekuwa Baba yako?π€Ni "Machadema"! Tena, kuna limoja limeanza kumletea figisu prezidaa wa kule Zenji, kilichompata, kila mtu anajua!