Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Huyo TIJA akiletwa huwa anafichwa wapi? Maana huku mitaani haonekani.Acheni upotoshaji ni ziara yenye tija na manufaa kwa nchi yetu mwacheni mama apige kazi
Alizurura Kikwete hivi hivi kwa kisingizio hicho hicho cha tija...mpaka anaondoka hakuna la maana.
Wananchi wafungue macho sasa, CCM ni janga!