Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

Ngoja tuone muda utaongea..ila lisemwalo lipo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inamaana serikali watu wote iliyoajiri kuna lazma ya Samia? Acheni akili za Kisukuma nyie,
 
kwa ujumala mimi niseme kwamba nasikitika kwa kiasi kikubwa kuona raisi anafanya ziara za kikazi huku nchi yake ikiwa katika hali ya taharuki mkoani Arusha katika mgogoro wa aridhi dhid ya ndugu zetu wamasai ! Ni kweli anawasaidizi wanaomuwakilisha lakini je hadi sasa wasaidizi hao wamefanya nini zaidi ya matatizo yanayoendelea? Leo polisi amepigwa mshale na kufariki tuseme hayo yote hayaoni . Nachosikitika hata wapinzani wenyewe wamekaa kimya wanaongelea jambo hilo kishingo upande.
mama mzanzibar
 
Sheria ya uzushi haijafutwa kuwa makini
 
Huyo TIJA akiletwa huwa anafichwa wapi? Maana huku mitaani haonekani.
Alizurura Kikwete hivi hivi kwa kisingizio hicho hicho cha tija...mpaka anaondoka hakuna la maana.

Wananchi wafungue macho sasa, CCM ni janga!
Haupo sawa wewe..
 
Attachments

  • Screenshot_20220612-132015.png
    Screenshot_20220612-132015.png
    97.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom