Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

Hivi hii ni safari ya ngapi ya nje tangu aingie madarakani?? Je baba yetu safari hii ameambatana naye?
 
Yanatokea matatizo badala ya kukatisha ziara ndio kwanza anakwenda kuonana na wanaotuhumiwa.

Kweli tumepata Rais.

Huyu mama anaupiga mwingi sana, Allaah amjaalie afya njema na ampe umri mrefu wa kuishi.
 
Naona ameenda kuwasilisha hati ya Umasaini kwa mmiliki mpya 😀😀😀!!!

Wazee wa "Asee Lafikiii" shughuli wanayo!
Na atakaporudi ataandaliwa mapokezi makubwa utafikiri Mgeni, Yenye sifa kibao ambazo 70% ni uongo.
 
Dah!.. umeona hivyo ndio vipaumbele vyetu ?..
kipaumbele kinategemea unaenda nchi gani , unaongea na nani? wanapenda nini? kitu gani ni rahisi kusaidiwa.

tunataka kuandaa Afcon bado hatuna viwanja vitatu ila ili apewe viwanja kirahisi na Oman anawaomba na masjid moja wanaona yes huyu mwenzetu kumbe shida yetu viwanja!

Mama akienda Russia anaomba msaada wa mabomu mizinga na vifaru na kumuahidi kutuma askari wetu wakaipige Ukraine!!

Mama akienda Dubai UAE anaomba wawekezaji waje Loliondo kuchukua vitalu vya kuua wanyamapori na kusafirisha Twiga hai na kupiga risasi za moto wamasai ili wahame ardhi ya Mwarabu.

Mama akienda USA anaomba msaada wa kupata wakufunzi wa mchezo wa basketball pamoja na pesa za chanjo ya korona ambayo haipo bongo.

Mama alienda France akapenda usafiri wa treni za umeme za daladala alipofika bongo jua kali eti tayari keshasahau!! Kwa tunaojua usafiri huu is the best kwa Jiji kama Dar
 
Mama piga kazi,ukiwasikiliza watu wenye fixed mind mentality hutofanya lolote,mtu anakua na mawazo utafikiri bado tupo kwenye zama za stone age!
 
Na wewe umepewa uplatinum member duh!!! Kwa haya unayoa andika Ni heri ukarudishwa u-Expert member,
Naunga mkono hoja ,jamaa anawadhalilisha Platinum member wenzake kwa ugoro anao post humu
 
Back
Top Bottom