Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

Waarabu/waislamu wanawachukia, uislamu wanaupiga vita. Hawa watu sheikh ni hatari sana.
Watu wenye kuendekeza udini udini katika nchi hii huwa ni wachache sana na ndio maana wanakuwa hawana impact yeyote katika jami !! Watu sehemu zote za nchi wanaishi kama ndugu bila kuangalia huyu ni wa dini gani au ni wa kabila gani au ni wa rangi gani !! Usibabaike na wabaguzi maana Hao wapo tu duniani kote!! Na kote huko walipo huwa ni wenye kushindwa tu !! Piga kazi brother life is too short !!!
 
Ni according to Katiba! Kama vile mirathi,akifa Baba yako,hakuna Jinsi Mama yako ndiyo atakua mrithi wake!!! Ni automatically hiyo haina ubishi!!!
Hiyo katiba ilitengenezwa na watu wasiofikiria yajayo kwa kweli
 
Uzururaji kama huu ndio maana bedui Jiwe akajiokotea chama Cha mapinduzi pale majalala ya Lumumba, Kuna hatari chizi maarifa mwingine kuikota ccm 2025
Hiyo mistari mitatu uliyoiandika nimeirudia kuisoma Mara tano !! Maneno yanafikirisha lakini nakosa majibu !!
 

Yah acha tupige kazi mkuu,,hawa kubishana nao ni kupoteza time.
 
Mimi nilidhani angeenda kwanza Ngorongoro Kwa Masai kuwa Julia hali na kutoa pole na kuwa fariji , tuliambiwa huyu ndo ana unganisha taifa imekuaje Kawa kimbia wamasai ?, Jamani CCM huwa ni majangale

Ana wawakilishi wake, na sio lazima yeye, ana mambo mengi ya kufanya huyu mama kipenzi cha watu wengi. Hao wamasai sio watoto, na wasituvurugie amani ya nchi yetu.

Kwanza washukuru Mungu wameondolewa sehemu isiyo salama kwao na kupelekwa jiji la tanga, huko watastaarabika, wataelimika na wataondokana na ushamba maana wanaenda kuishi na watu na sio akina nyumbu na mbweha, kwa wana tanga wastaarabu sana na watajiona wamechelewa sana,,,huko kwenye ukanda wao hawakupata kujifunza mengi. Hapa nilipo wamepita wamasai kicheko kama kicheko, wanafurahia maisha ya mjini. Wamasai Mungu awaongoze, tunawapenda sana sana.
 
Jamshid ana umri wa karibu miaka 100 sasa, arudi kufanya nini znz?
Shida siyo umri wa Jamshid bali utawala wa kisultan unaonekana bora kuliko huu muungano kwa Wazanzibar wengi.

NB:Malkia Elizabeth mwenyewe ana 96yrs itakuwa Jamshid mwenye 92 tena kaeneo kautawala kenyewe ukubwa 2,462km2 hata Loliondo Game Controlled Area pekee ni 4000km2.

Itisheni referendum muone ni kwa kiasi gani wanzanzibar wanauhitaji utawala wa kisultan.

Isingekuwa mapinduzi, huyo angekuwa bado ndiye Mtawala mpaka afe.
 
Huyo TIJA akiletwa huwa anafichwa wapi? Maana huku mitaani haonekani.
Alizurura Kikwete hivi hivi kwa kisingizio hicho hicho cha tija...mpaka anaondoka hakuna la maana.

Wananchi wafungue macho sasa, CCM ni janga!
Wakija wawekezaji nenda peleka CV zako upate kazi ili upate kipato na haya malalamiko yako yaweze kumalizika.

Ukikaa kulialia tu unapitwa na fursa nyingi sana za kiuchumi. Mlisema JPM haendi nje na anapitwa na fursa huyu wa sasa anakwenda huko nje na anajichanganya na watu wa mataifa mbalimbali lengo ni Tanzania yetu kupiga hatua za kimaendeleo.

Kama ujanja ni huu wa kulaumu na kukejeli, watatajirika watu wa mataifa mengine na sisi tutaendelea kuanzisha nyuzi za hasira zetu ambazo ukizichunguza sana ni za kijinga tu.
 
Hili la serikali kutokufanya biashara mama nimekukubali na ndio kimekuwa kilio chetu kikubwa sisi watu wa sector ya majini.

Sheria iliyopitisjwa kuifanya TASAC kuwa wakala pekee (Shipping Agent na Clearing agent wa kazi nyingi) tunaomba ipelekwe hungeni na iondolewe, maana bila hiyo kuondokewa, Tasac tabakia kuwa agent pekee huku akizidi kufifisha sekta ya majini na kuua uchumi wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…