Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Tusiseme umeme uliopo unakidhi maitaji wakati Kuna ma milioni ya watu hawana umeme , Cha msingi sasa serikali kupitia TANESCO isambaze umeme maeneo mengi ya ndani ndani huko ili Kila mtanzania apate umeme
 
Kama huna umeme ni jukumu lako kufika ofisi za TANESCO kwa ajili ya kufanyiwa tathmini na kuunganishiwa.
 
Hehehe
 
Kuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wakati bei ya umeme ni kubwa kuliko Nchi yeyote ya afrika mashariki ni ushamba
 
Acha dharau zako wewe. Ungekuwa na shukurani ulitakiwa upongeze juhudi zilizofaywa na serikali kumaliza mgao wa umeme hapa Nchini
Walio unda serikali wako hapa! Graduates wanalia hawajii tatizo lilianzia wapi?
 
Attachments

  • images (2) (1).jpeg
    44.3 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…