Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Hata Wanawake wa Kagera wakikusanywa wanaweza kuzalisha umeme wa maji sio kila kitu samia.
 
Hawa Mwendazake Aliweka Tshs 27000/=, Kote, Mjini Na Vijijini
Wao Wakaweka 321000/= Ndani Ya Manicipal Ambapo Watanganyika Hawana Huo Uwezo
 
Hawa Mwendazake Aliweka Tshs 27000/=, Kote, Mjini Na Vijijini
Wao Wakaweka 321000/= Ndani Ya Manicipal Ambapo Watanganyika Hawana Huo Uwezo
Muda utafika ambapo umeme itakuwa bure kuunganishiwa chini ya uongozi wa Mama yetu Mpendwa
 
Bwawa na Samia wapi na wapi.Bwawa la Mwl Nyerere ni Magufuli jamani hivi mbona akili zimewakimbia ?.
 
Kuna haja ya huyu jamaa akileta hizi nyuzi zake,tumkaushie tusijibu lolote,ni kama anapenda reply nyingi thus why haishi kuongea ujinga ujinga.
 
Acha dharau zako wewe. Ungekuwa na shukurani ulitakiwa upongeze juhudi zilizofaywa na serikali kumaliza mgao wa umeme hapa Nchini
Unalipa PAYE? Kama hauko kwenye hiyo roll utalamaba makalio Kwa Shukrani, na kuwaza kijinga kama wewe kwamba isiponyesha mvua kutakua hakuna evapotranspiration na maji yatabakia constant! Sijui unawaza Kwa kutumia balls? Mradi brainchild ya Mwalimu , jpm in practice, makamba na mama wameoatumia kutuibia hela zetu Leo unapanua magego a waste sperm!
 
Wivu tu ndio unakusimbua hapa. Si mlikuwa mnabetua Midomo yenu kuwa mama hatakamilisha mradi huo? Saizi mmeanza kuweweseka na kupiga mayowe.
 
Kuna haja ya huyu jamaa akileta hizi nyuzi zake,tumkaushie tusijibu lolote,ni kama anapenda reply nyingi thus why haishi kuongea ujinga ujinga.
Anzisha jukwaa lako ndio uwawekee watu masharti yako ya kijinga. hili ni jukwaa la watu wazima wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema. Usifikirie watu ni vichaa na wendawazimu kama wewe
 
Bila Magufuli hili bwawa lisingejengwa
 
Wivu tu ndio unakusimbua hapa. Si mlikuwa mnabetua Midomo yenu kuwa mama hatakamilisha mradi huo? Saizi mmeanza kuweweseka na kupiga mayowe.
Amekamilisha Kwa wakati uliopangwa ?Kama ni Kwa wakati uliopangwa mbona anaanza kuingia ma-deal ya kuuza umeme nje na si kuutumia umeme huo kubadili maisha ya watanzania Kwa kuwauzia umeme wa bei poa na kukuza viwanda vitavyotupa ajira watanzania.kuna agenda gani ya kuuza umeme nje na huu tulio nao haututosh Lucas? Inawezekana mama ako alikuwa Hana hela za kukamilisha mradi akakopa Kwa Ruto .
 
Tambua ya kuwa tukiuza nje ya Nchi tunapata faida ya kuongeza mapato yetu yatakayotumiwa katika shughuli nyinginezo za maendeleo. Sisi mahitaji yetu ya umeme ni megawati 1880 wakati mpaka sasa tunazalisha megawati 3500 hapo bado kuwasha mtambo mmoja katika bwawa la mwalimu Nyerere ambalo ikiwashwa yote linazalisha megawati 2115. Sasa unataka huo umeme tuupeleke wapi zaidi ya kuanza kuuza nje ya Nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…