Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

kuna mwamba alifikia kutengwa na jumuiya za kimataifa kwa sababu ya kulazimisha kujengwa bwawa hili. huyu ndiye mwenye rekodi yake, tuache tabia ya kupindisha ukweli.
 
Ila mjinga wewe kusifia kumekulipa sn, 2023 ulikuwa Mhudumu UWT kata Ileje, 2024 ukawa PS UWT Chunya, Dec 2024 ukawa VEO, mjinga wewe utakuwa unaloga sehemu maana siyo kwa nyota hiyo. Hongera lakini usinisahau rafiki ako.
Sina marafiki machizi mimi . Rafiki na mpenzi wangu ni ephen tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…