Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Hakuna rocord za Dunia za hivyo tuacheni kudanganya watu. Kama unamsifia Mama msifie sio kudanganya. Hizo record ni idara gani inaziweka?
Kwani ni uongo ipi nilioweka hapo? Je hufahamu kuwa ni kweli kwamba Bwawa la Mwalimu Nyerere litazalisha megawati 2115? Je hufahamu kuwa mpaka sasa tuna takribani megawati 3500? Je hufahamu kuwa matumizi yetu ya umeme ni takriban megawati 1880? Uongo ni upi katika andiko langu?
 
We kenge chawa mwenye njaa
 
Kuhusu bwawa la mwalimu Nyerere nadhani tuweni wakweli, mtu pekee kwa hapa Tanzania anaetakiwa kupongezwa bila unafiki then ni hayati JPM, huyu ndio wa kupongezwa, mengine haya ni porojo tu
 
cha kusikitisha nasoma hii post nikiwa gizani sasa n saa kama 3 hiv hakuna umeme

na bei ya umeme ipunguwe sasa
 
Kuhusu bwawa la mwalimu Nyerere nadhani tuweni wakweli, mtu pekee kwa hapa Tanzania anaetakiwa kupongezwa bila unafiki then ni hayati JPM, huyu ndio wa kupongezwa, mengine haya ni porojo tu
Jiwe alifanya mengi tatizo ukiweka kwenye uzani mengi yalikuwa maovu
 
Hilo Bwawa alilianzisha Magufuli. Samia hakuwa na uwezo kusitisha mkataba. Sifa zi za Samia hata kidogo kuhusu Bwawa.
 
Tatizo mnaleta hizi tambo umeme ukikatika tu excuse kibao mnasahau kama mlishasema nyie magwiji
 
Hiyo ni rekodi ya Dunia? Unajua Dunia au unadhani Dunia ni sawa na Dodoma
Mfano unajua juu ya bwawa la Aswan Misri au Reinacence la Ethiopia
So myopic
 
Hiyo ni rekodi ya Dunia? Unajua Dunia au unadhani Dunia ni sawa na Dodoma
Mfano unajua juu ya bwawa la Aswan Misri au Reinacence la Ethiopia
So myopic
Hivi unafikiri ni kazi ndogo kutunza maji ya kuzalisha maji kwa misimu mitatu mfululizo?
 
Stories hizi tumezizoea na uwa zinakuja kipindi uchaguzi unapokaribia. Mwendo kasi umewashinda itakua umeme?? nyambaafff.
 
Jiwe alifanya mengi tatizo ukiweka kwenye uzani mengi yalikuwa maovu
1. Demokrasia kwake was 0
2. Hakua mwamini wa team work, one man show
3. Alikua anapenda sifa binafsi

Hayo ndio nilio yaona kwake; the rest alikua more than the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…