Hoja ya kitoto kabisa😂Mh.Waziri anasema kuwa hata dawa ya QUININE(Kwinini) pamoja na kuwa dawa bora kutibu MALARIA SUGU NA KALI ila ina baadhi ya madhara.......
Ila ndio mujarabu wa Malaria kali yenye kupanda KICHWANI...
La hatari,Kama wana Nia njema waseme waziwazi na kwenye madhara watahusika siyo kujitoa.We only hope you wash your brain in the first place.View attachment 1871276
Tuambie nchi gani hawafi na Corona baada ya kuchanjwa? Njoo na data siyo porojo baada ya kushiba mihogo.Mkubwa wewe sasa, acha hizo. Kama hutaki wewe acha. Ingekuwa inawezekana kuwauliza wote waliokufa na huu ugonjwa au wategemezi waliowaacha, wangapi wangesapoti upupu huu mnaoeneza!!
Ujiandae na nani? Wewe chanjwa usife,wasiotaka waache wafe.Uzuri ni kwamba hautakwenda nao kaburini.Mh.Waziri Dr.Gwajima anasema dawa ya FLAGYL(metronidazole) ndio MALKIA wa vidudu vya matumbo ila nayo ina baadhi ya madhara hivi.....
#TujiandaeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Au hewaAnaweza akachanjwa maji huyo
Mshenzi tu yule.Quinine ni hatari kwa afya ya sehemu nyeti ya kichwa. Waziri wa afya asingeitumia kama mfano wengi wamepata madhara kwa kutumia kwinini
Kwa hyo Waziri Gwajima anaMuita Gwajima asiekuwa Waziri Kwamba Ni KIBWETERE?Mh.Waziri Gwajima anasema akina "KIBWETERE" wako wengi tu......tunao wengi tu......
*********************
KIBWETERE aliwaaminisha wafuasi wake UJINGA NA UPUMBAVU....wafuasi wake walikuwa HAWAWEZI KUTUMIA AKILI ZAO KUPAMBANUA MAMBO....
Aliwatia KIBERITI akasepa.....[emoji1787][emoji1787]
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.Ngwajima afukuzwe uanachama ccm maana kwa maneno yake anania ya kuliangamiza taifa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unataka kusema kuwa hatari hiyo inaizidi hatari ya kuwa kichaa na mwisho kufa?!!!Quinine ni hatari kwa afya ya sehemu nyeti ya kichwa. Waziri wa afya asingeitumia kama mfano wengi wamepata madhara kwa kutumia kwinini
Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......
Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa!!!
CCM ikiacha kutokumfukuza askofu Gwajima basi ijiandae na mengi ya hovyo kutoka kwa huyu ndugu huko mbeleni....(iwekeni hii Kama kumbukumbu).
#TujitokezeTuchanjeChanjo
#ChanjoNi Muhimu
#KaziIendelee
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
Waache wakachomane.
Hajamtaja mtu...Kwa hyo Waziri Gwajima anaMuita Gwajima asiekuwa Waziri Kwamba Ni KIBWETERE?
Kama kila mtu humu kila siku anapigania freedom of expression, why wewe unasema afukuzwe? Huu ndiyo ujinga uliopo Tz......kila mtu anauhuru wa kutoa maoni yake kwa mtazamo wake......mtu akiwa sisiemu au Chadema au eisitii kutoa maoni ni yeye, usimuhukumu.......nasiyo kwamba gwaji boy yeye hakosoi ila asihukumiweNgwajima afukuzwe uanachama ccm maana kwa maneno yake anania ya kuliangamiza taifa
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mguseni muone atakavyokinukisha. Gwajima ana'watu'.Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......
Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa!!!
CCM ikiacha kutokumfukuza askofu Gwajima basi ijiandae na mengi ya hovyo kutoka kwa huyu ndugu huko mbeleni....(iwekeni hii Kama kumbukumbu).
#TujitokezeTuchanjeChanjo
#ChanjoNi Muhimu
#KaziIendelee
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu