Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hongera mkuu nakuonea wivu wa kuchanjwa huko....Mkuu,mimi huku nilipo nilisha piga kitambo tu.
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha...
Walitakiwa wawe wamemfukuza JPM maana ndo alikuwa wa Kwanza kutuambia chanjo Zina madhara.Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......
Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa...
Pfizer mkuu.Hongera mkuu nakuonea wivu wa kuchanjwa huko....
Nami nitajitokeza haraka iwezekanavyo nidungwe sindano ili tuendelee na mishe zetu mitaani....
Vipi ulichanjwa J&J?
Consent form ina maajabu gani uliyoyaona?!!!U
Walitakiwa wawe wamemfukuza JPM maana ndo alikuwa wa Kwanza kutuambia chanjo Zina madhara.
Nyie wanafiki hamtumii akili hata kidogo,umesoma consent form wewe?
2Ooo Safi....
Umekula "shots" ngapi?
We only hope you wash your brain in the first place.View attachment 1871276
Usichoelewa Nini kuhusu ndugu kusaini, au mgonjwa Ana weka sahihi kwa ajili ya Nini?Consent form ina maajabu gani uliyoyaona?!!!
Mgonjwa anapopelekwa CHUMBA CHA UPASUAJI pia Kuna consent form HUSAINI....akiwa mahututi wanasaini NDUGU ZAKE ,je hilo nalo halikushangazi?!!
#TujitokezeniKuchanjw
Restriction zimeregezwa sio kama mwanzo mkuu.Swadakta Komredi...
Vipi huko Lockdowns bado zipo?!!
Hujanijibu kuhusu hiyo consent form ya chanjo....Us
Usichoelewa Nini kuhusu ndugu kusaini, au mgonjwa Ana week sahihi kwa ajili ya Nini?
Wasiache kumchanja na yule mtuhumia wa ugaidi,kule lupango.
Wewe kilaza una shida ganiIle sio familia yake ni mkusanyiko wa vilaza ambao hana nasaba nao yoyote.
kwa kosa gani tena bibieAskofu Rashid angekuwa Chadema sasa hivi angekua anahojiwa Central.
Fuata ushauri wa Gwajima, ila sasa sijui gwajima yupi[emoji848][emoji848]. Utajua mwenyewe![emoji28][emoji28]
Ok...Restriction zimeregezwa sio kama mwanzo mkuu.
Sawasawa....👍Kujiheshimu ni kitu kidogo sana Wala hakihusiani na umri unaweza kuwa mkubwa kumbe nanga tu